Kwenye orodha ipo nchi inaitwa Middle East, iko mitaa ipi hapoAmini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east
View attachment 3118194
Naona muajemi wa mpilimbi unatetea wenzako.Hujaweka misaada na incentives toka ulaya na marekani,ungeondoa na vikwazo kwa Iran tangu 1979
Hivi unajua kusoma?Amini kuna miujiza hapa Duniani, kanchi kadogo kapo vitani lakini kanakimbiza nafasi ya pili huko Middle east
View attachment 3118194
Wewe endelea kuzurura kama ng'ombe ukidai hakuna aliyekuumbaNaona muajemi wa mpilimbi unatetea wenzako.
Dini ni utapeli mkubwa uliowahi kutokea duniani.
Msaada wa dola bilioni 3 ni kitu gani kwenye nchi yenye uchumi wa dola nilioni 530 kwa mwaka huu wakiwa vitani ?Hujaweka misaada na incentives toka ulaya na marekani,ungeondoa na vikwazo kwa Iran tangu 1979
Dola bilioni tatu kila mwaka ni msaada wa ulinzi toka marekani,mwaka jana ukaongezeka,nimetaja pia incentives zingine, halafu piga hesabu Iran bila vikwazo angekua wapi,ana vikwazo tangu 1979Msaada wa dola bilioni 3 ni kitu gani kwenye nchi yenye uchumi wa dola nilioni 500
Dola bilioni 3 ni asilimia ngapi kwenye bilioni 530 kwa mwaka huu pekee licha ya kuwa vitani ?Dola bilioni tatu kila mwaka ni msaada wa ulinzi toka marekani,mwaka jana ukaongezeka,nimetaja pia incentives zingine, halafu piga hesabu Iran bila vikwazo angekua wapi,ana vikwazo tangu 1979
Sasa huyo Iran si anasaidiwa na Allah, china na Russia?Dola bilioni tatu kila mwaka ni msaada wa ulinzi toka marekani,mwaka jana ukaongezeka,nimetaja pia incentives zingine, halafu piga hesabu Iran bila vikwazo angekua wapi,ana vikwazo tangu 1979
Siyo nusu karibu wote.Pia usisahau kwa Marekani pekee takribani nusu ya mabilione ni wayahudi.
Mkuu Iran anasaidiwa na Allah, Urusi na China mbona yuko hoi kiuchumi? Yani hata Allah muweza wa yote anashindwa kuzuia na kuondoka hizo vikwazo?Hujaweka misaada na incentives toka ulaya na marekani,ungeondoa na vikwazo kwa Iran tangu 1979
Ulilisikia vuguvugu la watu na wanafunzi USA na ulaya kutaka vyuo vikuu na makampuni ku-diversify uwekezaji wao kutoka israel!?..yaani vyuo na companies zinafanya uwekezaji israel Ili tu kuipiga tafu,wala havina uhitaji wa kuwekeza huko, uchumi wa israel ni uchumi fekiDola bilioni 3 ni asilimia ngapi kwenye bilioni 530 kwa mwaka huu pekee licha ya kuwa vitani ?
Akili zako ndogo babu,mengine yakupiteMkuu Iran anasaidiwa na Allah, Urusi na China mbona yuko hoi kiuchumi? Yani hata Allah muweza wa yote anashindwa kuzuia na kuondoka hizo vikwazo?
Ukishawekewa vikwazo ujue wewe bado ni mdogo,Akili zako ndogo babu,mengine yakupite