Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha! Na kitimoto hakina uharamu wowote maana kinaliwa na watu wote hadharani na kifichoni sio? Ahahahahaha!!Khawarizmi kuwa baba wa algorithms haiifanyi algorithms kuwa islamic,julian calendar ya Julius Caeser (hakuwa mkristu) iliyorekebishwa na gregory,haina ukristu wowote
Na unaona uko sawa tu kichwani!!?Ahahahahaha! Na kitimoto hakina uharamu wowote maana kinaliwa na watu wote hadharani na kifichoni sio? Ahahahahaha!!
Jibu bwana!Na unaona uko sawa tu kichwani!!?
Nijibu upuuziJibu bwana!
Mafuta ya kafiri?..na wewe ni kafiri?Kobazi wanateseka sana,haya leteni na ngamia mana magari niya makafiri.
Ahahahahaha! Wepesi kweli kuuzungumzia Ukristu lakini waoga kweli kuzungumzia Imani nyengine! Ahahahahaha!!!Nijibu upuuzi
Imani gani?..hivi ulichoandika kina-make sense!?.. nguruwe na kalenda vinaingiliana vipi?Ahahahahaha! Wepesi kweli kuuzungumzia Ukristu lakini waoga kweli kuzungumzia Imani nyengine! Ahahahahaha!!!
Unachotakiwa kujua The Gregorian Calendar ni kalenda ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume. Nchi zo Ulaya kipindi kile zilikuwa zinaongozwa na Kanisa. Hivyo wakalazimika kuitumia hiyo kalenda ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume na kuifanya kalenda rasmi ya serikali zao. Sasa wewe unatoa povu eti sio ya Kikatoliki! Unafikiri kwasababu na wa dini zengine wanaitumia na kuacha kutumia zao kunaiondolea uhalali wa kutokuwa ya Kanisa Moja Katoliki la Mitume? Ahahahahaha!!!Imani gani?..hivi ulichoandika kina-make sense!?.. nguruwe na kalenda vinaingiliana vipi?
Haya katie mafuta kwenye mkundu wa ngamia.Mafuta ya kafiri?..na wewe ni kafiri?
Hujajibu ikiwa nawe ni kafiriHaya katie mafuta kwenye mkundu wa ngamia.
Kwani ngamia ni muislamu?Kobazi wanateseka sana,haya leteni na ngamia mana magari niya makafiri.