Mtoto wa Shule
JF-Expert Member
- Nov 16, 2014
- 15,133
- 11,914
Ahahahahaha! Na kitimoto hakina uharamu wowote maana kinaliwa na watu wote hadharani na kifichoni sio? Ahahahahaha!!Khawarizmi kuwa baba wa algorithms haiifanyi algorithms kuwa islamic,julian calendar ya Julius Caeser (hakuwa mkristu) iliyorekebishwa na gregory,haina ukristu wowote