Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 14,762
- 32,386
Huyu dada ni mzuri kwa sura na umbo, amenyimwa akili hilo ndilo ambalo limeutesa moyo wangu sana, kufanya mapenzi direct connection na mwanamke ambaye hana akili ni sawa tu na kupata ngoma kwake.
Ni siku 34 exactly toka tumegegedana. Jana akanipigia simu kuwa ana mimba yangu nikashtuka kidogo but nikatabasamu na kumuuliza ni ya muda gani akambia baby ni miezi miwili na week2 nikamwambia sawa haina shida.
Leo tumeenda hosp kupima ultra sound imeonekana hivyo, tukaenda hosp nyingine ikaonekana hivyo na sasa tumetoka ya tatu imeonekana hivyo, hakujua natafuta nini.
Basi alivyo pumbavu huyu dada bado akili yake ilikuwa imekaa tenge hajui nachotafuta, anafurahia tu na kusema nianze kuandaa vitu vya mtoto na anataka nianze kumtafutia mtoto jina.
Yaani hashtuki kuwa tumesex 34 days ago ana mimba ya miezi miwili na wiki 2 anaamini kweli mimi nmeikubali anaongea ujinga na kujibebisha. Mazafanta kabisa, blalifuli.
Muda huu nimemuuliza last time tumesex ilikuwa lini ananambia 'baby hata nakumbuka basi mimi nakumbuka tu utamu ulionipa" hapo nikawaza sina mwanamke kabisa.
Nikamkumbusha birthday yake akaitaja ndo first and last day tumesex nikamuuliza how come mimba ina miezi miwili na nusu?mtandao ukawa unasumbua nimempigia hapatikani.
Sijui amenionaje? Najuta why nilimtia bila condom maana si atakuwa ameniambukiza upumbavu wake? Yaani alishindwa hata hesabu nyepesi za kujumlisha na kutoa? Anataka anibambikie mimi mimba?