Pamoja na kuwa nilimpima akawa hana ngoma. Leo najuta kufanya naye bila Condom

Wewe na yeye mko sawa tu.

Hosp tatu unatesekea hizo wiki mbili?

Hiyo yako oa mlee mtoto hatutaki wajukui wa mtaani. Oa una mke oa wa pili si hutosheki na mmoja, oa hata wanne ni nguvu yako.
 
Hongera Sana ndugu. Estimation ya umri WA mimba, hasa changa Kwa Ultrasound sio exact. Ina deviation ya +/- 2 weeks. Na bado kuna factors nyingi zinazoweza kuathiri size na Hatimaye makisio ya umri WA Kiumbe.
Sambamba na Hilo , ikumbukwe umri WA mimba hauhesabiwi kuanzia siku ilipotunga, Bali kuanzia tarehe/ siku ya mwisho alipokoma hedhi/ siku ya mwisho ya hedhi ya mwezi uliotangulia. Na hii huwa ni majuma mawili mpaka matatu kabla ya siku/ tarehe za kutunga mimba.
Hivyo basi ndugu yangu, tulia, lea, mtoto azaliwe ndio uendelee na udhibitisho WA ni wako au sio wako.
 
Sasa Kama ww una Akili na yeye ni Mzuri.

mzae tu huyo mtoto achukue akili zako na uzur wa mama.

Hybrid ndio mpango mzima.
 
Hongera Sana ndugu. Estimation ya umri WA mimba, hasa changa Kwa Ultrasound sio exact. Ina deviation ya +/- 2 weeks. Na bado kuna factors nyingi zinazoweza kuathiri size na Hatimaye makisio ya umri WA Kiumbe.
Sambamba na Hilo , ikumbukwe umri WA mimba hauhesabiwi kuanzia siku ilipotunga, Bali kuanzia tarehe/ siku ya mwisho alipokoma hedhi/ siku ya mwisho ya hedhi ya mwezi uliotangulia. Na hii huwa ni majuma mawili mpaka matatu kabla ya siku/ tarehe za kutunga mimba.
Hivyo basi ndugu yangu, tulia, lea, mtoto azaliwe ndio uendelee na udhibitisho WA ni wako au sio wako.

Ukishaanza kulea huwezi kuja kujitoa eti Mtoto sio wako..! Ni ngumu sana ni bora akafanya time hii mapema. Akikubali kulea akubali kulea kabisaaaa hakuna muda wa kujitoa
 
Wewe na yeye mko sawa tu.

Hosp tatu unatesekea hizo wiki mbili?

Hiyo yako oa mlee mtoto hatutaki wajukui wa mtaani. Oa una mke oa wa pili si hutosheki na mmoja, oa hata wanne ni nguvu yako.

Team moja na huyo mwanamke...! Ushauri mbovu sana huu
 
Back
Top Bottom