Ukiamua kufumba macho........Yes.Furaha ya kweli ipo kwa Yesu,sio kwa wanadamu...
Ivi bibie mbona umensusa ivi jamani? Yani huko mlimani sayuni ndo kumekufanya usahau ndugu zako?Furaha ya kweli ipo kwa Yesu,sio kwa wanadamu...
Teh teh teh.Ivi bibie mbona umensusa ivi jamani? Yani huko mlimani sayuni ndo kumekufanya usahau ndugu zako?
Na mimi nashangaIvi bibie mbona umensusa ivi jamani? Yani huko mlimani sayuni ndo kumekufanya usahau ndugu zako?
Unayvotutenga sio vizuri hata Yesu hapendi btw nowdays nimeokokaTeh teh teh.
Upako wa mlimani sio wa kawaida.ndio maana nashindwa kushuka.Lakn usijali,japo kimwili tupo mbali lakna kiroho nipo nawe.habari za usalule,au ulishakimbia?
Unayvotutenga sio vizuri hata Yesu hapendi btw nowdays nimeokoka
My Ben ........please come back darling!! Drop them comments banafrankly speaking......anyway,let me drop my comments later!
Ivi bibie mbona umensusa ivi jamani? Yani huko mlimani sayuni ndo kumekufanya usahau ndugu zako?
Teh teh teh.
Upako wa mlimani sio wa kawaida.ndio maana nashindwa kushuka.Lakn usijali,japo kimwili tupo mbali lakna kiroho nipo nawe.habari za usalule,au ulishakimbia?
Na mimi nashanga
Unayvotutenga sio vizuri hata Yesu hapendi btw nowdays nimeokoka
bwana asifiwe.
Na hii ikitokea umeimisi kati kati ya usiku mnene utapata habari yake (muangalie muwakilishi wa yule dada kwenye jarida muda aliopost) utaanza kujiona una kasoro kila mahali, ukiwa hujaimisi wala kila kitu unaona kiko sawa tu tena unaona afadhali ya kubaki single.
Aisee Maty,
Ntakuunganisha WikiLeaks asee!..unajua kufanya uchunguzi yakinifu.
Kwahiyo mjukuu wangu alikuwa anaimisi baiolojia akaona isiwe tabu ngoja nirushe thread. Kweli angekuwa nayo muda huo angekuwa kashalala saa nyiiiiiiiiiiiiiingi.
Babu ameelewa sasa!
afadhali wewe umenena kilichoujaza moyo wakositii neno in dis sred ila nasikia wengi walioolewa wanatamani yale maisha ya kuwa single. Binafsi nataman sana siku ntakayoanza kuitwa mama flan.
Halafu waruke kichura chura?...shkamoooooo mwaaaaaliiiiiimu! Mm mwanafunzi wako naomba usahihishe ile test yangu..................Haya nyie hapo juu , shikeni masikio upesi!!:ban: Okay :focus:
Halafu waruke kichura chura?...shkamoooooo mwaaaaaliiiiiimu! Mm mwanafunzi wako naomba usahihishe ile test yangu
..................Haya nyie hapo juu , shikeni masikio upesi!!:ban: Okay :focus:
Halafu waruke kichura chura?...shkamoooooo mwaaaaaliiiiiimu! Mm mwanafunzi wako naomba usahihishe ile test yangu
Utaungana na maty kutafuta amana ...........................
Mjukuu....kwa hiyo muda wa post is direct propotional na ukosefu wa baolojia na matumizi ya pillow?......he.u nipe number yako ya mobitel nikupe pychosocial support fasta.BAbu kuna konsipirasi humu ndani......watu weshaanza kulink muda wa kuwa online/kupost na kuwa single (kukosa baiolojia)
Nakushauri ubadili saa hapo chini
Mjukuu....kwa hiyo muda wa post is direct propotional na ukosefu wa baolojia na matumizi ya pillow?......he.u nipe number yako ya mobitel nikupe pychosocial support fasta.