Pamoja na kuwa Uko Single....

Pamoja na kuwa Uko Single....

Furaha ya kweli ipo kwa Yesu,sio kwa wanadamu...
Ukiamua kufumba macho........Yes.
Ukiamua kuuona ukweli............No

Halafu kuna furaha ya kweli ya muda mrefu
na furaha ya kweli ya muda mfupi
Zote ni Muhimu! karibu FeaWei.
 
Ivi bibie mbona umensusa ivi jamani? Yani huko mlimani sayuni ndo kumekufanya usahau ndugu zako?
Teh teh teh.
Upako wa mlimani sio wa kawaida.ndio maana nashindwa kushuka.Lakn usijali,japo kimwili tupo mbali lakna kiroho nipo nawe.habari za usalule,au ulishakimbia?
 
Teh teh teh.
Upako wa mlimani sio wa kawaida.ndio maana nashindwa kushuka.Lakn usijali,japo kimwili tupo mbali lakna kiroho nipo nawe.habari za usalule,au ulishakimbia?
Unayvotutenga sio vizuri hata Yesu hapendi btw nowdays nimeokoka
 
frankly speaking......anyway,let me drop my comments later!
 
Ivi bibie mbona umensusa ivi jamani? Yani huko mlimani sayuni ndo kumekufanya usahau ndugu zako?

Teh teh teh.
Upako wa mlimani sio wa kawaida.ndio maana nashindwa kushuka.Lakn usijali,japo kimwili tupo mbali lakna kiroho nipo nawe.habari za usalule,au ulishakimbia?

Na mimi nashanga

Unayvotutenga sio vizuri hata Yesu hapendi btw nowdays nimeokoka

bwana asifiwe.

..................Haya nyie hapo juu , shikeni masikio upesi!!:ban: Okay :focus:
 
Na hii ikitokea umeimisi kati kati ya usiku mnene utapata habari yake (muangalie muwakilishi wa yule dada kwenye jarida muda aliopost) utaanza kujiona una kasoro kila mahali, ukiwa hujaimisi wala kila kitu unaona kiko sawa tu tena unaona afadhali ya kubaki single.

Hahahaaaaaaaaaa Maty..adhabu yako nitafutie amana yangu nliyoipoteza Savoy hadi uipate.naisubiria Ubungo Bus Terminal kesho! Mwone vile
 
Aisee Maty,

Ntakuunganisha WikiLeaks asee!..unajua kufanya uchunguzi yakinifu.

Kwahiyo mjukuu wangu alikuwa anaimisi baiolojia akaona isiwe tabu ngoja nirushe thread. Kweli angekuwa nayo muda huo angekuwa kashalala saa nyiiiiiiiiiiiiiingi.

Babu ameelewa sasa!

Utaungana na maty kutafuta amana ...........................
 
sitii neno in dis sred ila nasikia wengi walioolewa wanatamani yale maisha ya kuwa single. Binafsi nataman sana siku ntakayoanza kuitwa mama flan.
afadhali wewe umenena kilichoujaza moyo wako
 
Halafu waruke kichura chura?...shkamoooooo mwaaaaaliiiiiimu! Mm mwanafunzi wako naomba usahihishe ile test yangu

BAbu kuna konsipirasi humu ndani......watu weshaanza kulink muda wa kuwa online/kupost na kuwa single (kukosa baiolojia)

Nakushauri ubadili saa hapo chini
 
Halafu waruke kichura chura?...shkamoooooo mwaaaaaliiiiiimu! Mm mwanafunzi wako naomba usahihishe ile test yangu

Mpwa umeme umerudi hivi? nimejichimbia uzunguni leo nimeamua nionje bia za 2500
 
Utaungana na maty kutafuta amana ...........................

...wakikuuliza uwadanganye na vibagia...kesho nitarejea na pipi.
Sifa ya macho kuona......hawezi kuimba eti anaforce kuongea....ukipiga marimba ufasikika
 
BAbu kuna konsipirasi humu ndani......watu weshaanza kulink muda wa kuwa online/kupost na kuwa single (kukosa baiolojia)

Nakushauri ubadili saa hapo chini
Mjukuu....kwa hiyo muda wa post is direct propotional na ukosefu wa baolojia na matumizi ya pillow?......he.u nipe number yako ya mobitel nikupe pychosocial support fasta.
 
Mjukuu....kwa hiyo muda wa post is direct propotional na ukosefu wa baolojia na matumizi ya pillow?......he.u nipe number yako ya mobitel nikupe pychosocial support fasta.

:clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2::clap2:
 
Inspector anawapenda wamama wote .......Oppps, ngoja nikafungue sredi mpya
 
Back
Top Bottom