Pamoja na kuwa Uko Single....

ahahaha!hata mimi sijamuadress mjukuu mtiifu...
nimemuadress yule aliyezungumziwa kwenye gazeti la bang

Aisee Teamo mbona unamchakachua mjukuu wangu mtiifu?
 
Maisha ni kuchagua, kuna sababu zinakufanya uchague hayo maisha, zaweza kuwa mbaya au nzuri. But zina nguvu ya kutosha kuushawishi moyo wako uchague kuishi either single or married.

Na mpaka unafikia kuamua hivo, unakuwa umeshajipanga na kuikubali hiyo hali, wakati wengine wanapigania na kulinda ndoa zao wewe unapigana na kuulinda usingle wako, ukivumilia changamoto unazokutana nazo, ukivumilia karaha za upweke kama wanavyovumilia karaha za ndoa.

Kwa mimi binafsi ninavyoona kama kweli umefikia mahali pakuchagua kuishi peke yako kutoka moyoni utaweza so long as utakuwa umejipanga akilini na nafsini mwako.
 
i want them them to learn that sex is good for them too...
they are not doing us any favor...lol

But darling Boss, dont you think unalink the loneliness na sex hapa? Isnt the loneliness more than that?? kuna alosema sometimes utamiss wa kumlaumu, kumnunia n.k.
 

LD ni kweli usemacho na ninakubali kabisa kuwa ukichagua na kukubali kuishi single utaweza, swali langu ni je ni kweli kuwa hutokaa ujisikie mpweke na kuwish usingechagua maisha ya aina hiyo?? au just to wish having someone at particular time?? Am not saying kuwa umekamatwa na hamu ya kimwili la hasha (hizo zipo njia mbadala nyingi tu za kuipotezea) other forces.......labda unatamani ungekuwa na mtu wa kukubembeleza, kushare naye your ideas, furaha n.k?........najua wapo watakaojibu kuwa una ndugu na marafiki wa kushare but are they enough?? wont you wish for more??
 
Mjukuu........Mtiifu.
Inspector anasema yule dada wa gazeti la Bang amefafanua maana ya kuishi happily single bila that Jerk? Amesema kama Pillow inatumika kwa design gani? (samahani kama nimeingilia mjadala) Will be back!@!
 
Hupungukiwi na lolote ukiamua kuishi maisha ya peke yako. Angalia wangapi wapo ndani ya wawili wawili lakini shida mtindo mmoja stress maugomvi kila kukicha, kuibia nje kama kazi. Shosti ni heri tu kuwa mwenyewe huhitaji kununa bila sababu

Pakawa mpenzi aksante kwa post yako...nakubaliana nawe but are they happy?? eti huna sababu ya kununa hahahahhahhhhhhhhhh!!
 
Kwa mujibu wa bibi....

Anyway endeleni kuchangia nitawaambieni alichonambia baadaye.
 
Naona umedadavua vizuri sana.........Ukishaonja raha na chungu ya kupata wa kucheka nae, kulia nae, kumnunia, kumlalamikia, then inakuwa ngumusana kuwa happily single baadae......loneliness itakuwepo, .....HAPPILY NI KUJILIWAZA TU!
 

mmh we mkarrrrii!!!!!!!
 
Mjukuu........Mtiifu.
Inspector anasema yule dada wa gazeti la Bang amefafanua maana ya kuishi happily single bila that Jerk? Amesema kama Pillow inatumika kwa design gani? (samahani kama nimeingilia mjadala) Will be back!@!

Babu Inspector.............well alifafanua .infact hakuwa jerk mmoja but anasema alipitia mikononi mwa majrk wawili ambao anadai aliamini kuwa aliwapenda sana and alifanya kila kitu kuwaridhisha but wakamdisapoint ingawa alibahatika kupata watoto wawili...........ndo akasema yuko single na hataki mwanaume (na pia hakusema kama amechange to lesbos) naashumu yuko single.

And please come back....................
 
hivi mj1 samahani kidogo,
DADA WA KWENYE GAZETI LA BANG alieleza kisa na mkasa cha kuamua kuishi single?
 


Nimeipenda hii
 
Aisee samahanini.....who is happily single here....and who is happily married here....
 
hivi mj1 samahani kidogo,
DADA WA KWENYE GAZETI LA BANG alieleza kisa na mkasa cha kuamua kuishi single?
Alitendwa na Ma-jerk mawili..........yani yeye alikuwa anajiingiza kwa zem Jerks tu!!
hajui kuchagua huyo! CRAP!.......Yani alishindwaje kuona na macho amepewa!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…