The Finest
JF-Expert Member
- Jul 14, 2010
- 21,605
- 6,092
Unmarried happy lol!!!!!!!!!!Hehehe ivi wewe upo upande upi hapa? Single happly au married unhappy?
Khe Khe Kheeeee hatofautiani na malariamkuu naona umeleta na ushahidi. mdada wa watu amepotea kwenye ulimwengu wa mawazo. kinachofatia hapo nazani ni ile self service. upweke haukubaliki kabisa jamani tuacheni mzaha.
I am so agreeing with you.........Ndovu za kopo zinaongeza Potassium and Sodium sana kwenye ubongo.Aisee in a very serious note, mimi naona utaratibu wa kufunga ndoa ndio chanzo kikubwa cha matatizo yote haya....huu utaratibu ungekuwa haupo nadhani binadamu tungekuwa na furaha zaidi.....
I am so agreeing with you.........Ndovu za kopo zinaongeza Potassium and Sodium sana kwenye ubongo.
khaa! hapo red kama wangu hakuna nitaiba japo wa jirani! ubavu lazima uwepo bana! singularity haikubaliki
Umepata division ngapi kwenye matokeo ya juzi ya form 4?
Nianze kukutongoza MJ1?Yo Yo....are you happly single??
Ni kweli haikubaliki na ni ngumu kumeza, ila huwezi kulazimisha lazima usubiri wakati ufike na hiki kitu kinawashinda sana wakinamama ndio maana unaona wanaenda kwa waganga kutafuta dawa, kujilazimisha mimba nk. mradi tu aonekane kaolewa lakini humo kwenye hiyo ndoa anaishi kama yuko jehanamu. Kila ambae anafurahia maisha ya ndoa ni yule ambae pamoja na mapungufu ya kila binadamu anapata mauzi ambayo yanavumilika, na ni kweli huo unakua ni ubavu wake kutoka kwa mungu. Kila ambae anaachana na mkewe mumewe ujue ulikua sio ubavu wako. Sasa kwa nini nilazimishe ndoa halafu nije niachike? si bora ukae tu usubiri ubavu wako wa ukweli bana? Uvumilivu watu hatuna uvumilivu na ikumbukwe uvumilivu sio kwa wanandoa tu na masingle inabidi muwe wavumilivu changamoto unazokabiliana nazo na alie katika ndoa ya kujilamisha anazo nyingi zaidi yako ila watu huwa hawasemi wanapretend kwamba kila kitu kiko sawa wakati sio. (if walls could talk)
dah! Yaani kama post yako hii ukichanganya na ile iliopita basi sredi klosed. Umemaliza kila kitu dada na hakika nimefall in love na hizi post zako.
Which means umefall in love na yeye lol!!!!!!!!dah! yaani kama post yako hii ukichanganya na ile iliopita basi sredi klosed. umemaliza kila kitu dada na hakika nimefall in love na hizi post zako.
hatimaye....
mnapoteza mwelekeo wa sredi. you have been warned and MJ1 have been notifiedWhich means umefall in love na yeye lol!!!!!!!!
Actually tunaangalia mwelekeomnapoteza mwelekeo wa sredi. you have been warned and MJ1 have been notified
Hapana namwambia ukweli ni mara kadhaa namuona anaingia kwenye topic na kuipoteza mwelekeo na kuwakimbiza waliotaka kuijadili na kufaidika na michango ya wengine.
Kwahiyo tuwapige talaka wake zetu ili woooooooote tuishi single but happy?
mkuu naona umeleta na ushahidi. mdada wa watu amepotea kwenye ulimwengu wa mawazo. kinachofatia hapo nazani ni ile self service. upweke haukubaliki kabisa jamani tuacheni mzaha.