njaakalihatari
JF-Expert Member
- Feb 12, 2019
- 4,081
- 8,671
Kocha wao anakuambia kuanzia airport walikuwa treated badly, kumbe simba walienda kuwapokea na begi la korosho kabisa kama zawadi wakakuta basi na mini van zote wakakataaa kabisa wakapewa ushauri kwamba wachukue hotel karibu na mjini wao wakaamua kwenda Ramada kilomita za kutosha toka kwa mkapa
Usiku huohuo Hamis kisiwa afisa wa simba na balozi msaidizi wa ubalozi wa afrika kusini waliwasindikiza hadi Ramada hotel sijui ni kunduchi kule?
Siku ya mazoezi waka stuck kwenye traffic jamaa akalalamika walipewa pikipiki moja ya escort ni hujuma za simba..siku hiyo kwenye mlango wakapasua mayai yaliyoandikwa kiarabu
Siku ya mechi wakakataa kutumia mlango wa kawaida wakaingia kwa nguvu mlango wa media wanaoutumia makanjanja yetu , hiyo clip ya mvutano imesambaa south africa kwamba walikuwa wananyanyaswa na simba uwanjani...