Pamoja na kuzunguka nchi nzima, lakini kumbe Peter Msigwa alikuwa anatumiwa na CCM kama karai tu

Pamoja na kuzunguka nchi nzima, lakini kumbe Peter Msigwa alikuwa anatumiwa na CCM kama karai tu

Wenye thamni ndani ya ccm wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa ccm Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
Hawatamsahau. Wanajua kwamba wakimtupa kesho wapinzani watagoma kuasi. Kuna nafasi nyingi anaweza kupewa. 1. Ubunge wa kuteuliwa 2. Ukuu wa mkoa, wilaya, ubalozi na teuzi nyingine nyingi..
 
Msigwa umetumiwa kama karai so Nakushauri rudi CHADEMA ndiyo thamani yako ilikopandishwa
 
Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
He did very terrible blunder...

That's the end of his political legacy he built while he was CHADEMA..

Anaweza kurudi CHADEMA, that's fine..

But he won't be the same vibrant, reputable and loved Peter Msigwa...

Poteza vyote katika maisha haya. Lakini usipoteze trust kwa watu wako, jamaa, ndugu na marafiki...

No body will trust Peter Msigwa again...
 
Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
Huyo mbilikimo dili lake lilikuwa kumsakama Mbowe tu baada ya Mbowe kuangushwa kazi yake rasmi ikifika kikomo.
 
Unamuonea huruma MTU aliyekuzidi kila kitu.

But on record ccm haijawahi Kumtupa MTU .
 
Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
Ipo siku atapata teuzi hata udc
 
Msigwa ni asset kubwa sana . Tunamuhitaji sana Chadema . Najiuliza ,ma CCM mnamuachaje mtu kama Msigwa mnamchukua Baba levo , ester Matiko ,? ... pls Msigwa rudi Chadema tupiganie reform, kariba na kubwa tulikomboe Taifa kutoka katika huu upuuzi uliopo
 
Kwa ccm wajinga wana thamani kubwa sana. Ndiyo maana wamewaacha akina Kimei , Ummy, Msigwa lkn wakapendekeza akina Babu Tale, Babalevo, na kahaba Matiko.
 
Back
Top Bottom