Pamoja na kuzunguka nchi nzima, lakini kumbe Peter Msigwa alikuwa anatumiwa na CCM kama karai tu

Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
CCM Kuna nafasi nyingi tu! Msigwa akae kwa kutulia tu! Cha msingi asiwafuate vichwa maji wa CHADEMA ambao wanachojua ni fitina, kuzira na uzushi.
 
Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
Vipi kapigwa chini
 
Ukikubari bahasha yao ukubali na kutumika kwa masirahi yao ile saiz ni toilet paper baada ya chura kiziwa kunyakua madaraka anaweza kuambulia ata U DC huko nanjirinji
 
Mwezi December hapo utaona jina lake kwenye uteuzi Kwa nafasi ya uDC, RC

Kwasasa wanachat na CPA Makalla akimkumbushia ahadi yake
 
Hawatamsahau. Wanajua kwamba wakimtupa kesho wapinzani watagoma kuasi. Kuna nafasi nyingi anaweza kupewa. 1. Ubunge wa kuteuliwa 2. Ukuu wa mkoa, wilaya, ubalozi na teuzi nyingine nyingi..
ajira zetu zinagawiwa kama asante? hana mashamba akalime
 
He did very terrible blunder...

That's the end of his political legacy he built while he was CHADEMA..

Anaweza kurudi CHADEMA, that's fine..

But he won't be the same vibrant, reputable and loved Peter Msigwa...

Poteza vyote katika maisha haya. Lakini usipoteze trust kwa watu wako, jamaa, ndugu na marafiki...

No body will trust Peter Msigwa again...
🙋✍️👏👍🤝🙏🎖️🛡️
 
Sure
 
Wenye thamni ndani ya CCM wameteuliwa kuwa wagombea hata kama waliangukia pua kwenye kura za maoni.

Mwambieni Peter Msigwa kuwa CCM Ina wenyewe, na wenyewe siyo yeye.
Hapo kwenye kutumiwa kama karai hahahahahaha. Karai la zege hahsha
 
Back
Top Bottom