Magema Jr
JF-Expert Member
- Apr 22, 2020
- 1,299
- 1,197
- Thread starter
- #21
Matokeo full Time
°Young african 3 va Dodoma jiji 1
¤kumbuka kabla ya mechi hii nilitabiri GG ya tatu moja na kweli bila kuchenga imetokea!!
Tafadhali kama mwanamichezo naomba pongezi yako,kwani naamini nimepiga kazi ya ziada!!😂😂😂
#Tokomeza Mikia
#kila mtu ashinde mechi zake 😂😂
#jr