Pamoja na kwamba timu ya Dodoma Jiji imekuwa ikibebwa na waamuzi katika michezo yake ya VPL, Lakini naamini leo mbele ya Young African anakufa !

Pamoja na kwamba timu ya Dodoma Jiji imekuwa ikibebwa na waamuzi katika michezo yake ya VPL, Lakini naamini leo mbele ya Young African anakufa !

Matokeo full Time
°Young african 3 va Dodoma jiji 1
¤kumbuka kabla ya mechi hii nilitabiri GG ya tatu moja na kweli bila kuchenga imetokea!!
Tafadhali kama mwanamichezo naomba pongezi yako,kwani naamini nimepiga kazi ya ziada!!😂😂😂
#Tokomeza Mikia
#kila mtu ashinde mechi zake 😂😂
#jr
 
Mimi ni Msimbazi lakini HONGERA SANA MKUU utabiri ulikaa poa sana.....

HAKIKA UTABIRI UMETIMIA.

Vipi simba na Platinum tutegemee nini????
mkuu mi ni hataree aisee !!,but kuna watu hawataamini na kubeza mkuu
 
Kama kawa j4 natoa possible ta game ya simba vs pltz!!😂

Kaa chonjooo
 
Back
Top Bottom