Afadhali hiyo. Namungo ndiyo haswa ipo kisiasa zaidi. Inaendeshwa kwa simu za MheshimiwaNahisi dodoma fc ipo kisiasa zaidi.
Sasa Yanga anapeleka vp kwan ndio mwenyeji wa gameSijui sababu ya Yanga kupeleka game Arusha, uwanja ni mbovu
Yanga ndiye aliyekuwa mwenyeji kwenye mechi ya leoSasa Yanga anapeleka vp kwan ndio mwenyeji wa game
Faulo zile nazionaga ulaya tuile faulo hataree sanaa
Ipo kanuni inaruhusu kufanya hivyo. Kumbuka, KMC walifanya hivyo dhidi ya Yanga kuupeleka mchezo Kirumba, Mwanza.Sasa Yanga anapeleka vp kwan ndio mwenyeji wa game