Gari za Kenya zinalipa road toll ndani ya kenya?Road toll je?, Mana hapo ndio kunadetermine unafuu wa safari, huzioni gari za Kenya kwenda songea tena. Sababu road toll kwenda na kurudi namanga Ni karibu dola 700 ,
Sent
Ndo maana nimekuuliza kama ni mkopo huwa tunalipa ? Kama serikali inaingia gharama, ni zipi hizo ambazo ni kubwa kuliko misaada tunayopewa? Na kwa, nini kama tunaishia kulipa zaidi, tunakubali misaada hiyo?
Broo naomba jitiKagame ataua raia wake kwa kuwaiga Mabeberu
Eti lockdown
....kuingiliana!!!no mi sijawahi kuingiliana na mtu aissILA SISI WAAFRICA NIMEGUNDUA NI WATU TUSIOJIELEWA KISA TUU MIPAKA ILIYOCHORWA NA MZUNGU TUNASHIDWA KUELEWANA WAKATI KABLA YA MZUNGU KUCHORA MIPAKA TULIKUWA TUNAINGILIANA NA KUTEMBELEANA
ONA SASA KINACHOENDELEA KATI YA TIZIII NA RWANDIZZZZ
Kama dry port imesogezwa karibu na malaba hata kwa gari za rwanda gharama zinapungua sana kwa maana Treni inatoa mizigo msa hadi hapo kwenye dryportRoad toll je?,
Transporters watahamishia ofisi mombasaIla Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
Mgogoro wowote ni fursaSasa si warudi kwao mbna wame kaa uko wana subiri kubembelezwa au
Dark Side
Hapo ndio tunapojidanganyaHii nchi imekaa sehemu nzuri sana.
Tanzania kama maji usipoyaoga utayanywa.View attachment 1453338
Sent using Jamii Forums mobile app
Road toll huwezi kulipa Kama upo nchini mwako , road toll hulipwa kwa gari ngeni tu, Cha ajabu nchi zote Africa kipimo Cha road toll ni umbali utakao tembea , Rwanda pekee ana flat rate kutembea kwetuGari za Kenya zinalipa road toll ndani ya kenya?
Samahani lakini hujajibu swaliMkuu nature Ndio inaamua kwasaasa, Mabeberu yanatengeneza tatizo ili yaje yatatue kwa faida kubwa
Hii ni Kwasababu wenzetu wametudidimiza miaka mingi hawataki tupige hatua
Wanajua mtu mweusi akijitambua Ndio itakuwa anguko lao
Acha kropoka propaganda kila kona humo weee tu?? Punguza ujuaji na vitu vya msingi wanavyojadiri wanaume.Mimi nilikuwa dereva na nimefanya kazi Kenya kuna magari ni hatari na hivi wanaona Kagame anafungua dry port watu wanaenda benki halafu wanashusha mamia ya magari ya mizigo
Sawa, ila vipi bidhaa za vyakula au wataagiza navyo?Ila Madereva wetu nao wanatakiwa wafikirie mbali maana Rwanda wakimaliza kujenda Dry port yao Kenya wanaweza kulazimisha mizigo yote kupitia bandari ya MSA
Halafu mizigo ikipungua Transpoters wanaanza kuwapunguza kazini
Treni kutoa mzigo Mombasa kuja naivasha sio free ride mkuu, Kuna costs , na zinaenda kwa mwenye mzigo, plus delays road toll kutoka dry port Hadi malaba haitapungua dola 100 Mana pana wastani wa km 350, kutakuwa na road toll nyingine kutoka malaba Hadi boader ya Rwanda .Kama dry port imesogezwa karibu na malaba hata kwa gari za rwanda gharama zinapungua sana kwa maana Treni inatoa mizigo msa hadi hapo kwenye dryport
Nimekuuliza hivyo huku nikiwa najua kuna local road toll na toll for foreign vehiclesRoad toll huwezi kulipa Kama upo nchini mwako , road toll hulipwa kwa gari ngeni tu, Cha ajabu nchi zote Africa kipimo Cha road toll ni umbali utakao tembea , Rwanda pekee ana flat rate kutembea kwetu
Kwa gari ya Kenya kutoka namanga kuja dar na kurudi Ni wastani wa dola 250, na hizo Ni km 700 kuja 700 kurudi
Sent
Kwa hiyo unafikiri Kagame ni mjinga?Treni kutoa mzigo Mombasa kuja naivasha sio free ride mkuu, Kuna costs , na zinaenda kwa mwenye mzigo, plus delays road toll kutoka dry port Hadi malaba haitapungua dola 100 Mana pana wastani wa km 350, kutakuwa na road toll nyingine kutoka malaba Hadi boader ya Rwanda .
Route hii Kwanza itawagaharimu muda , kitu kingine Mombasa port sio port rahisi in terms ya goods clearance .kulinganisha na dar port
Sent
Hakuna compromise kweye road toll mkuu, popote duniani. Kwanza road toll inakusanywa na mamlaka tofauti kabisa , kwa Kenya Ni kenha kwetu Ni Tanroad ,Nimekuuliza hivyo huku nikiwa najua kuna local road toll na toll for foreign vehicles
Dry port ya kagame huko Kenya ni lazima keshaongea na uhuru na wakenya wanajua hilo litawaogezea kipato na pia ajira za madereva wao zitaongezeka
Na hio ni wake up call kwa Tanzania