The Burning Spear
JF-Expert Member
- Dec 23, 2011
- 9,205
- 22,219
Naomba clip hio niione walivyomtukana Emmanuel km Mbuzi wa kafara... maana kule wamemuweka KONDOO wa Morogoroilo liko wazi wale alkasusu wamembagaza emmanuel mchimbi kwa maagizo ya macho kuvimba ndiyo maana hawaguswi na wowote.
Muda umeisha yote hayo yataisha..Ukitaka kupata deal sasa hivi, sema wewe ni mwislam, Mimi ni Mwislam halisi lakini nachukizwa sana na kete ya Udini ya CCM. Ukifika kila ofisi ni sisi, na hawa wapemba wamejaa kila mahali Tanganyika nzima.
Mkuu, nakusihi sana, tuendelee kuiweka Tanzania yetu juu ya kitu kingine chochote. Hakuna dini yoyote inayoukataa uTanzania wetu; kwa nini dini ndio iwe sababu ya kutufarakanisha?Ukitaka kupata deal sasa hivi, sema wewe ni mwislam, Mimi ni Mwislam halisi lakini nachukizwa sana na kete ya Udini ya CCM. Ukifika kila ofisi ni sisi, na hawa wapemba wamejaa kila mahali Tanganyika nzima.
Wale washenz wanauharibu uislamNaomba clip hio niione walivyomtukana Emmanuel km Mbuzi wa kafara... maana kule wamemuweka KONDOO wa Morogoro
Wamechelewa maana muda umeisha..#BREAKING: UN CONDEMNS TANZANIA SECURITY FOR ALLEGED ‘SHOOT TO KILL’ ORDERS DURING PROTEST
UN human rights experts have condemned widespread abuses in Tanzania following the October 29, 2025 general elections, citing disturbing reports of hundreds of extrajudicial killings, enforced disappearances, and mass detentions targeting protesters, opposition figures, and civil society.
In their statement, the experts said security forces, including police and military, allegedly received “shoot to kill” orders during an enforced curfew as youth‑led demonstrations erupted nationwide against the ruling party.
They urged the Government to disclose the fate and whereabouts of all disappeared persons, return remains to families, and lift restrictions on media coverage, warning that censorship violates Tanzania’s international obligations.
The experts further noted that the elections were marred by disqualified opposition leaders, arbitrary detentions, and legislative changes undermining fairness, with some candidates detained or forcibly disappeared before the polls.
Unapotatua tatizo lazima uwe muwazi , mtanganyika yupi aliyebomoa utalii!?maana Nchi imetumia pesa nyingi kutangaza utalii tunakuja kuubomoa wenyewe kwa gharama nafuu..
Nina uhakika TEC wana mawasiliano mojakwamoja na VATCAN na papa ana mawasiliano ya mojakwamoja na Trump ngoja tuoneNadhani hapa sana sana ni kumfungia jasusi la mbinguni, uvamizi wa kitima na baadhi ya mapadre waliotekwa na kurudishwa wakiwa hoi, tukaambiwa walikuwa kwa wapenzi wao na wana madeni mazito .
Habari zetu za udaku wanazipata 😃😀
Kwa mara ya kwanza nitakupinga kwa hili mkuu...Tushuke chini tufanye maridhiano ya kweli na Wananchi hakuna kitu tutapungukiwa
Kwenye maridhiano lolote linaweza kutokea naamini hivyo mimi pia naumia sana kuona hali hii ipo siku niliangalia zile video huwa siangalii vitu vinavyonihusu vitajkavyoweza kuniumiza niliumwa karibu wiki nzima hata JF na sehemu yeyote ambayo naweza kupats taarifa nilisitisha lakini ndio tupo huku tunafanyeje Mkuu..Kwa mara ya kwanza nitakupinga kwa hili mkuu...
"Maridhiano" wanayotaka wananchi si unayafahamu?, je yanaweza kutekelezeka ikiwa amejawa na kiburi na ujinga namna ile?
Amani ndio nguzo ya maendeleo ya Tanzania , bila utulivu hatuwezi kujenga uchumi imara, elimu bora, afya na fursa sawa kwa wote. Uhuru tuliopewa ni wajibu wa kuendeleza misingi ya waasisi wetu kwa kuungana, kushikamana na kulinda maadili ya taifa. Tunapoadhimisha siku ya uhuru, tuitumie kama nafasi ya kuombea Tanzania yetu, kuimarisha umoja na kuendeleza uzalendo unaotujenga kuwa nguvu moja dhidi ya changamoto za kijamii, kiuchumi na kisiasa. Maombi, mshikamano na upendo kwa taifa letu ndizo baraka na kinga ya Tanzania tunayoitamani. #uhuru #tanzania #africa #independence #decemberGT
Marekani imesikitishwa na mambo mengi nchini Tanganyika. Moja ya jambo muhimu wanalosema ni ukandamizaji wa wazi wa dini ya kikristo.
Siyo siri wana taarifa zote namna samia navyojaribu kutumia uislamu kukandamiza haki na uhuru qa kujieleza nchini Tanzania.
Mauaji. Utekaji na utesaji ukiwalenga wakristo unaofanywa na Samia ni Tanzania tu kwa sasa hakuna sehemu yoyote duniani ujinga kama huu unaendelea na dunia nzima imeshamkataa
Alaaniwe samia.
View attachment 3511408