Pamoja na mambo mengine Marekani imesikitishwa na ukandamizaji wa wakristo nchini Tanzania chini ya Samia

Ukileta ujinga utashughulikiwa hukohuko kanisani
 
Samia muuwaji tumekutaa na dunia imekukataa na MUNGU MWENYEZI amekukataa
 
Ukitaka kupata deal sasa hivi, sema wewe ni mwislam, Mimi ni Mwislam halisi lakini nachukizwa sana na kete ya Udini ya CCM. Ukifika kila ofisi ni sisi, na hawa wapemba wamejaa kila mahali Tanganyika nzima.
Labda uwe muunguja pale forodha wanajazwa wao
 
Wametukalia koo hawa jamaa. Tumeshawasikia mbona wanaendeleza?
 
Ndio maana siwezi kutetea uharibifu wa miundombinu na mali kaka... Watu wana mengi moyoni😢😢 CCM Wameyataka haya yote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…