Uchaguzi 2020 Pamoja na Mapungufu ya Magufuli akisimama mwaka 2020 na wafuatao ntamchagua tena

Will the environment allow?
 
Mapungufu ya Magufuli hakuna mtanzania mwenye akili timamu ambaye hayajui
1.Udikteta kwa mbaali
2.maamuzi ya haraka
3.hana ushawishi wa hoja
4.Maendeleo kwake ni barabara tu, siyo maendeleo ya kijamii

Britannica
 
Kabisa
 
Alichosema Pascal ni sawa na kuwaambia wachumba kwa vile washaonesha kuwa wanaupendo wa dhati, na wameshazaa watoto kadhaa basi hakuna haja ya wao kufunga ndoa!
Mkuu ikipendaroho, hapana simaanishi hivyo, watu wakiishakuwa wachumba, huu ndio uthibitisho wa upendo, ndoa ni muhimu, ila kwa vile watoto wanahitaji matunzo, elimu etc, nawashauri wafunge tuu ndoa wapate cheti na wasifanye sherehe na kutumia pesa bure wakati zinahitajika zaidi kwa watoto.

Essence ya sherehe ya harusi ni kibali cha consumation ya ndoa tena sherehe halisi ilipaswa kufanyika after defloration, sasa watu mmekaa miaka mitano, mmezaa watoto, unataka kutumia fedha kidogo uliyonayo kufanyia sherehe for what?.

Huo ndio ushauri wangu, kuwa katika miaka mitano hii ya bwana harusi wetu, ndio nchi yetu, mke mchapakazi kaingizwa, consumation imefanyika, watoto wamezaliwa, 2020 apewe tuu hati ya ndoa aendelee bila kutumia gharama, aendelee tuu, kama ni kufanya sherehe, tufanye 2025 wakati wa mke mpya.

P
 
Mkuu Tindo, kumhusu Magufuli, tangu 2014 niliishasema kila kitu hapa
hivyo there is no excuse kuwa hatukujua kuwa Magufuli sio rais bora, aliingia kama bora rais, ila kwa situation ya 2015 na political dynamics za nchi yetu, Magufuli ndio was the best option, hili hata yeye mwenyewe analijua kati ya aliogombea nao, kuna watu mule would have made a better president than him, lakini kwa vile rais hupangwa na Mungu, Rais Magufuli ndie rais Mungu aliyetupangia kwa 2015-2025.

Ila kuna kitu kizuri kuhusu human beings, they are not static, they are dynamic, and hence they change with time. Ni kweli rais Magufuli alipoingia, he wasn't presidential material, huyu ni technocrat, but as times goes, he is changing little by little,


Hivyo, pamoja na yote, this man is changing for the better, huwezi jua, kufikia 2025, wakati anaondoka, he might be the best president ever, this country had ever had.
P
 

Magufuli sio bora na hatakaa awe bora japo atakuwa amesimamia miundombinu mingi mpaka wakati anatoka. Wazungu wa Afrika kusini wameleta maendeleo makubwa sana huko SA, je umesikia popote wakisifiwa ni viongozi bora? Kujenga kundi la kumsifia hakumfanyi kuwa bora. Huu ni mwaka wa nne bado hajajua kuna kupingwa, anaishia kudukua na kusambaza mitazamo ya wasiomkubali hapo unategemea abadilike kuwa bora?
 
Real changes is a gradual process, it takes time, and takes place little by little.
P.
 
2020 zamu ya Tundu Lissu
 
kilichosababisha Watanzania tuwe na huyo kiongozi unayemshabikia ni kutokana na sisi kuwemo kwenye group hili hapa chini.

ndugu yangu tujinasue kwenye hii mediocrity kwa kufanya vitu tofauti na unachokipendeza hapo juu kwani mapendekezo yako hayatatuondoa kwenye list hii hapa chini. halafu embu chunguza kwa makini nchi zilizomo kwenye hii list ndiyo utajua exact extent ya tatizo kubwa tulilo nalo.

 
Vipi kuhus Shangazi zako , wajomba zako, wastaafu , waliovunjiwa nyumba wanaoisoma namba mwaka wa nne huu, mara hii umeshasahu?
Yaani ktk siku zote Leo umeongea bonge la pumba, hata kama nyumba zilivunjwa hata kama watumishi hawapandishiwa mishahara Kwa miaka minne lakn siwezi kichagua kati ya hao...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…