Hivi karibuni nimekuwa nikipinga sana kushidwa kwa Raisi Samia kwenye kuleta katiba, sheria mbaya ya uchaguzi, uhusiano unao dorora kwa upinzani, mikataba ya sirisiri na kutokutumia nafasi vizuri.
Lakini kwa vigogo wa sasa wa CCM na hawa mawaziri wake hakuna mtu hata mmoja ambaye ni afadhali na anamzidi kwa sasa. Vigogo wengine ni wabaya zaidi ya Mama mfano Waziri mkuu ni chawa tu tumeona alivyo kuwa wakati wa Magu ni bendera fuata upepo.
Waliobali ni vijana ambao bado ni mapepe bado. Lakini hata Mwinyi wa Zanzibar ni disappointment kwa mahusiano yake na upinzani na ameanza tamaa za deal za marafiki zake.
Hope yangu kubwa ni Mama ulevi wa madaraka kuisha na kurudi kama mwaka wake wa kwanza ambako kila mtu alikuwa upande wake mpaka pale tamaa ilipianza kuingia. Kwa mawazo yangu viongozi wengi wa CCM hawana vipaji . Bashe na Biteko wana potential kama wakiweka nchi mbele ya CCM lakini wengi ni zero.
Mama bado anafanya chini ya kiwango lakini walio mzunguka nao ni zero! Hivyo Mama ni bora kwa CCM tumuombee tu.
Upinzani kuna majembe zaidi ya hawa machawa wa CCM kwa mawazo yangu