Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Nimepigiwa simu na mdau.
Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali.
Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani.
Kuwa Kalemani ni mzoefu hivyo wananchi wamrudishe Bungeni.
Baada ya mkutano wananchi wakaanza kumchambua huyu mama kuwa amebugi. Maana hawamtaki Kalemani na hajawahi kuwasaidia. Ni mwendazake tu ndio aliisaidia Chato.
Hakuna mradi wowote ambao Kalemani aliowasaidia wanaChato zaidi ya juhudi za mwendazake.
Wameapa kumtochamgua kwa udi na uvumba.
Duh...