Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
dah huyu jamaa ni komesha kwa ramli chonganishi 😂
Mdau mmoja kanipa ujumbe wa wanaChatosasa si umepigiwa cm na mdau moja tu?
sema huyo mdau ameapa
kutompigia kura kailemani asirudi tena bungeni. wengine waachwe waamue wenyewe.
hao wengine umewatoa wapi, acheni mambo ya chuki binafsi kuzifanya chuki za jumla kwa wote dhidi ya fulani.
Hizi ni hisia za hovyo na zimechelewesha mambo mengi sana sana kwenda mbele...
na usirudie tena.....
aaah kwendraa zako 😂🤣Mdau mmoja kanipa ujumbe wa wanaChato
Watu wa huku chato hatumtaki kalemaniNimepigiwa simu na mdau.
Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali.
Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani.
Kuwa Kalemani ni mzoefu hivyo wananchi wamrudishe Bungeni.
Baada ya mkutano wananchi wakaanza kumchambua huyu mama kuwa amebugi. Maana hawamtaki Kalemani na hajawahi kuwasaidia. Ni mwendazake tu ndio aliisaidia Chato.
Hakuna mradi wowote ambao Kalemani aliowasaidia wanaChato zaidi ya juhudi za mwendazake.
Wameapa kumtochamgua kwa udi na uvumba.
Duh...
Kama unabisha nenda Chato kawaulizeaaah kwendraa zako 😂🤣
Kalemani ni mbinafsi hafai kabisa.Nimepigiwa simu na mdau.
Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali.
Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani.
Kuwa Kalemani ni mzoefu hivyo wananchi wamrudishe Bungeni.
Baada ya mkutano wananchi wakaanza kumchambua huyu mama kuwa amebugi. Maana hawamtaki Kalemani na hajawahi kuwasaidia. Ni mwendazake tu ndio aliisaidia Chato.
Hakuna mradi wowote ambao Kalemani aliowasaidia wanaChato zaidi ya juhudi za mwendazake.
Wameapa kumtochamgua kwa udi na uvumba.
Duh...
WananzengoWanaosema hivyo ni wana Ccm au RAIA wa kawaida?
Suala sio Kalemani suala ni ni nyie wezi mnaojiita chawa wa mama mnavizia vyeo vya mgawo. Kalemani hakubali rushwa wala kulazimishwa kutekeleza kilicho kinyume na utaratibu. kwa hiyo mnataka kuweaka pandikizi gani hapo Chatoi ambako mmepatenga? Kalemani ana unguvu zipi za kumwezesha kuwasaidia wananchi kama mlimnyang'anya uwaziri na nishati ambao ndio alikuwa anasimamia vizuri kwa faida ya watu wa chini?Kalemani ni mbinafsi hafai kabisa.
kalemani una turufu moja! Toa ukweli wa zile CCTV kamera zinazoonyesha mauaji ya TALKalemani ni mbinafsi hafai kabisa.
Is TAL dead?kalemani una turufu moja! Toa ukweli wa zile CCTV kamera zinazoonyesha mauaji ya TAL
YES!Is TAL dead?
Haya mnamtaka nani?Watu wa huku chato hatumtaki kalemani
PuuziYES!
Kiongozi wa chama Tawala ni mkubwa zaidi ya viongozi wa Serikali.Kwa hiyo yeye anastahili anayofanyiwa.Nimepigiwa simu na mdau.
Kuwa huyu mama alikuwepo Chato jana. Mbaya zaidi anasindikizwa na msafara ya polisi kana kwamba ni kiongozi wa serikali.
Baada ya Kalemani kumzawadia zawadi ya ng'ombe na mafuta ya Alizeti huyu mama na kiswahili chake cha Tanga akaanza kumpigia debe Kalemani.
Kuwa Kalemani ni mzoefu hivyo wananchi wamrudishe Bungeni.
Baada ya mkutano wananchi wakaanza kumchambua huyu mama kuwa amebugi. Maana hawamtaki Kalemani na hajawahi kuwasaidia. Ni mwendazake tu ndio aliisaidia Chato.
Hakuna mradi wowote ambao Kalemani aliowasaidia wanaChato zaidi ya juhudi za mwendazake.
Wameapa kumtochamgua kwa udi na uvumba.
Duh...
Duuh anakazi,2025!Nimepigiwa simu na mdau.