SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 47,706
- 69,281
Na kweliUzuri ni kwamba Uzi utabaki hivyo utarudi hapa kusoma tena comment yako..
Sent from my Nokia 5.1 Plus using JamiiForums mobile app
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Na kweliUzuri ni kwamba Uzi utabaki hivyo utarudi hapa kusoma tena comment yako..
Nilimaanisha wewe unajua mpira ndio maana ukasema vile..hapa nilikuwa namjibu aliekuwa amekukosoa.Nani huyo ?
Weraaaaaaaaaah!!!Nguvu moja [emoji881][emoji881]
Yupo chooni kaharisha hadi katoka bawasiriAje sasa asome comment yake ..
Vipi ndoto za Ali Nacha zimeishia wapi?Usinene ukamala.Njoo na ndoto zingine.Za Ali Nacha zimetiki.Ndoto za Alinacha hizi
Dah Sheikh Yahaya rudi umalizie utabiri wako.Vipers juzi walikuwa pungufu na kukumbusha kijana Halafu hata nae Vipers anawaza kama wewe kwani ikiwa ww umekula kwako tatu ana amini wewe ni kibonde kwenye hili group.
Mnapenda sana kumsingizia Alinacha na mambo yenu ya kitoto.Ndoto za Alinacha hizi
Naam.!Uzuri ni kwamba Uzi utabaki hivyo utarudi hapa kusoma tena comment yako..
Tuma salamu kwa ndugu zako watatu wa karibu.Hizi hesabu ni za matumaini ila Kwa sasa la kufikiri ni kushinda mechi zinazofata ili kuiweka sawa heshima ya Simba na sio kuingia robo fainali. Ikitokea katika kushinda kwako wengine wakashindwa ukapita unakuwa umebahatisha.
Ukishaanza mambo ya kumtegemea Raja ambaye hata akidondosha p3 hana la kupoteza akushindie mechi ili upite tayari ni hesabu za bahati nasibu. Unabeti
[emoji23][emoji23]