Pamoja na matokeo ya jana ila Simba bado atafuzu kwenda robo fainali

Pamoja na matokeo ya jana ila Simba bado atafuzu kwenda robo fainali

Ndiwooooooooooh!!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Vipers juzi walikuwa pungufu na kukumbusha kijana Halafu hata nae Vipers anawaza kama wewe kwani ikiwa ww umekula kwako tatu ana amini wewe ni kibonde kwenye hili group.
Dah Sheikh Yahaya rudi umalizie utabiri wako.
 
Hizi hesabu ni za matumaini ila Kwa sasa la kufikiri ni kushinda mechi zinazofata ili kuiweka sawa heshima ya Simba na sio kuingia robo fainali. Ikitokea katika kushinda kwako wengine wakashindwa ukapita unakuwa umebahatisha.

Ukishaanza mambo ya kumtegemea Raja ambaye hata akidondosha p3 hana la kupoteza akushindie mechi ili upite tayari ni hesabu za bahati nasibu. Unabeti
Tuma salamu kwa ndugu zako watatu wa karibu.
 
Nko nafanya mpango uende pale Havana university of intelligence ukafundishe hesabu za probability kwenye uwanja wa medani.
 
Back
Top Bottom