Pamoja na Mbeya City FC kuturahisishia Mahesabu ambayo sikuyategemea, bado naendelea Kusisitiza Simba SC atakuwa Bingwa tena kwa mara ya 5

πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ KoloWizard njoeni mpite huku mpate faraja
 
Mpaka sasa hivi umetelekeza uzi sijui umejichimbia wapi mzee, bahasha ya kaki ya gsm imewanunua mpaka mmeuza mechi kwa yanga aisee🀣🀣🀣🀣 kweli njaa mbaya kama manunuzi yameanzia kwa babra mpaka wachezaji basi mnayo hali mbaya sana maana siku izi ndo slogan yanga akishinda mnakimbilia amenunua mechi mnaona aibu kukubali ubora wa yanga mtaendelea kuteseka na yanga anabeba makombe yoteee msimu huu na wamestahili kubeba
 
Tusibweteke ndugu FA bado hatujachukua mpr una mambo ya ajabu tunaweza shangazwa
 
Hebu andika upya Uzi mwingine badala ya huu
 
Tusibweteke ndugu FA bado hatujachukua mpr una mambo ya ajabu tunaweza shangazwa
Kazi ya kumuondoa makolo tushaimaliza ubingwa ata akichukua coast au Azam ni poa tu ilimradi tushawavua ubingwa wazee wa tunguri na ngebe zao tumezikata na tumeweka heshima mjini na lengo lilikuwa wasiambulie chochote msimu huu na tumefanikiwa Sasa wakabebe vikombe vya kahawa vipo vingi tu
 
Hizi ndo zinaitwa za Alinacha.Vikombe vyote vikapasukaaaaa
 
GENTAMYCINE
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…