Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka sasa hivi umetelekeza uzi sijui umejichimbia wapi mzee, bahasha ya kaki ya gsm imewanunua mpaka mmeuza mechi kwa yanga aiseeπ€£π€£π€£π€£ kweli njaa mbaya kama manunuzi yameanzia kwa babra mpaka wachezaji basi mnayo hali mbaya sana maana siku izi ndo slogan yanga akishinda mnakimbilia amenunua mechi mnaona aibu kukubali ubora wa yanga mtaendelea kuteseka na yanga anabeba makombe yoteee msimu huu na wamestahili kubebaNajua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.
Na kibaya zaidi Mtibwa Sugar FC wana Golikipa ambaye ni mwana Yanga SC lia lia na anaichukia sana Simba SC Shabaan Kado hivyo najua nae kuna Goli zuri tu kwa Makusudi atawazawadia Yanga SC.
Hata hivyo pamoja na Yanga SC kuwa katika nafasi nzuri ya Kumfunga Mtibwa Sugar FC nitoe Kwanza pongezi zangu nyingi kwa Mbeya City FC kwa Kuwabana na Kumpunguza Alama ( Points ) Mbili hivyo Kuturahisishia Kazi mapema Simba SC kuliko ambavyo tulitarajia.
Kwa Mkakati Maalum (wa Kimafia) nina uhakika katika Mzunguko wa Pili Yanga SC atapoteza ( ataacha ) Alama kwa Timu zifuatazo ambazo naziamini na ndipo Simba SC itapitia humo humo mpaka kuwa Bingwa tena kwa mara ya Tano ( 5 ) safari hii ikiitwa NBC Premier League 2021 / 2022...
Simba SC atamfunga Yanga SC
Azam FC atamfunga Yanga SC
KMC FC atamfunga Yanga SC
Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC
Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC
Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC
Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC
Jumla Yanga SC anaenda Kupoteza (Kuacha) Alama (Points) 17 katika Mzunguko wa Pili ( wa lala Salama ) wa Ligi Kuu ya NBC.
Kuanzia Mechi ya Juzi ya Simba SC na Prisons FC na ya Kesho dhidi ya Mbeya Kwanza FC na Mechi zote za Mzunguko wa Pili ( wa mwisho ) mnaodhani Simba SC ama itafungwa au hata kutoka Sare tena mmekosea kwani hivi Wazee wa Fitina, Hila na Umafia tumesharejea Kundini na sasa ni mwendo wa Kushinda tu Mechi zetu zote Kudadadeki.
πππππ KoloWizard njoeni mpite huku mpate faraja
Tusibweteke ndugu FA bado hatujachukua mpr una mambo ya ajabu tunaweza shangazwaMpaka sasa hivi umetelekeza uzi sijui umejichimbia wapi mzee, bahasha ya kaki ya gsm imewanunua mpaka mmeuza mechi kwa yanga aisee[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] kweli njaa mbaya kama manunuzi yameanzia kwa babra mpaka wachezaji basi mnayo hali mbaya sana maana siku izi ndo slogan yanga akishinda mnakimbilia amenunua mechi mnaona aibu kukubali ubora wa yanga mtaendelea kuteseka na yanga anabeba makombe yoteee msimu huu na wamestahili kubeba
Hebu andika upya Uzi mwingine badala ya huuNajua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.
Na kibaya zaidi Mtibwa Sugar FC wana Golikipa ambaye ni mwana Yanga SC lia lia na anaichukia sana Simba SC Shabaan Kado hivyo najua nae kuna Goli zuri tu kwa Makusudi atawazawadia Yanga SC.
Hata hivyo pamoja na Yanga SC kuwa katika nafasi nzuri ya Kumfunga Mtibwa Sugar FC nitoe Kwanza pongezi zangu nyingi kwa Mbeya City FC kwa Kuwabana na Kumpunguza Alama ( Points ) Mbili hivyo Kuturahisishia Kazi mapema Simba SC kuliko ambavyo tulitarajia.
Kwa Mkakati Maalum (wa Kimafia) nina uhakika katika Mzunguko wa Pili Yanga SC atapoteza ( ataacha ) Alama kwa Timu zifuatazo ambazo naziamini na ndipo Simba SC itapitia humo humo mpaka kuwa Bingwa tena kwa mara ya Tano ( 5 ) safari hii ikiitwa NBC Premier League 2021 / 2022...
Simba SC atamfunga Yanga SC
Azam FC atamfunga Yanga SC
KMC FC atamfunga Yanga SC
Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC
Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC
Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC
Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC
Jumla Yanga SC anaenda Kupoteza (Kuacha) Alama (Points) 17 katika Mzunguko wa Pili ( wa lala Salama ) wa Ligi Kuu ya NBC.
Kuanzia Mechi ya Juzi ya Simba SC na Prisons FC na ya Kesho dhidi ya Mbeya Kwanza FC na Mechi zote za Mzunguko wa Pili ( wa mwisho ) mnaodhani Simba SC ama itafungwa au hata kutoka Sare tena mmekosea kwani hivi Wazee wa Fitina, Hila na Umafia tumesharejea Kundini na sasa ni mwendo wa Kushinda tu Mechi zetu zote Kudadadeki.
Cha msingi ilikuwa kuwavuwa ubingwa Simba na kuwakojolea.Tusibweteke ndugu FA bado hatujachukua mpr una mambo ya ajabu tunaweza shangazwa
Kazi ya kumuondoa makolo tushaimaliza ubingwa ata akichukua coast au Azam ni poa tu ilimradi tushawavua ubingwa wazee wa tunguri na ngebe zao tumezikata na tumeweka heshima mjini na lengo lilikuwa wasiambulie chochote msimu huu na tumefanikiwa Sasa wakabebe vikombe vya kahawa vipo vingi tuTusibweteke ndugu FA bado hatujachukua mpr una mambo ya ajabu tunaweza shangazwa
Muhimu ni kuwatoa makolo katika mashindano na kuhakikisha hawachukui kombe lolote msimu huuTusibweteke ndugu FA bado hatujachukua mpr una mambo ya ajabu tunaweza shangazwa
Hizi ndo zinaitwa za Alinacha.Vikombe vyote vikapasukaaaaaNajua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.
Na kibaya zaidi Mtibwa Sugar FC wana Golikipa ambaye ni mwana Yanga SC lia lia na anaichukia sana Simba SC Shabaan Kado hivyo najua nae kuna Goli zuri tu kwa Makusudi atawazawadia Yanga SC.
Hata hivyo pamoja na Yanga SC kuwa katika nafasi nzuri ya Kumfunga Mtibwa Sugar FC nitoe Kwanza pongezi zangu nyingi kwa Mbeya City FC kwa Kuwabana na Kumpunguza Alama ( Points ) Mbili hivyo Kuturahisishia Kazi mapema Simba SC kuliko ambavyo tulitarajia.
Kwa Mkakati Maalum (wa Kimafia) nina uhakika katika Mzunguko wa Pili Yanga SC atapoteza ( ataacha ) Alama kwa Timu zifuatazo ambazo naziamini na ndipo Simba SC itapitia humo humo mpaka kuwa Bingwa tena kwa mara ya Tano ( 5 ) safari hii ikiitwa NBC Premier League 2021 / 2022...
Simba SC atamfunga Yanga SC
Azam FC atamfunga Yanga SC
KMC FC atamfunga Yanga SC
Namungo FC atatoka Sare na Yanga SC
Mtibwa Sugar FC atatoka Sare na Yanga SC
Mbeya City FC atatoka Sare na Yanga SC
Biashara United FC atatoka Sare na Yanga SC
Jumla Yanga SC anaenda Kupoteza (Kuacha) Alama (Points) 17 katika Mzunguko wa Pili ( wa lala Salama ) wa Ligi Kuu ya NBC.
Kuanzia Mechi ya Juzi ya Simba SC na Prisons FC na ya Kesho dhidi ya Mbeya Kwanza FC na Mechi zote za Mzunguko wa Pili ( wa mwisho ) mnaodhani Simba SC ama itafungwa au hata kutoka Sare tena mmekosea kwani hivi Wazee wa Fitina, Hila na Umafia tumesharejea Kundini na sasa ni mwendo wa Kushinda tu Mechi zetu zote Kudadadeki.
GENTAMYCINENajua baada ya Sare ya Leo piga ua kuelekea Mechi yao ya Kumaliza mzunguko wa Kwanza GSM watahonga kadri wawezavyo ili Yanga SC amfunge Mtibwa Sugar FC Wiki ijayo ili apunguze Presha kwa Mashabiki wake.