Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbea siku zote haoni vitu vya msingiWewe umeona ukuta na mabomba, mimi nimemwona huyo dada mrefu. Kumbe watu tunaona vitu tofauti kabisa [emoji28][emoji28]
Hahaa, kuona mabomba ya mitimba ndiyo kuona vitu vya msingi?Mbea siku zote haoni vitu vya msingi
Nawaona.washika mbwa warembo kweliView attachment 2361897Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
View attachment 2361897Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
Kuna ukarabati mkubwa unaendelea katika kasri ya Buckingham. Unge Google kabla ya kukimbilia kuposti ungejua hilo.View attachment 2361897Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
🤣🤣Ingekuwa Afrika kiongozi amefariki wangepiga rangi, barabara kama zina mashimo yanafukiwa lakini huu MSIBA viongozi wetu wa AFRIKA watakuwa wamefundishwa mengi si kufanya UKARABATI KISA AMEFARIKI KIONGOZI MKUBWA ila ikiwemo kupanda DALADALA pia.
Hizi ndiyo akili za waTanzania umbea tu umewazidi kazi kuchungumza mambo ya wenzio we ni shoga?View attachment 2361897Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
Tajiri akibakiwa na bilion moja ataambiwa kafilisika.. Maskini akipata milion 50 atajiweka kwenye kundi la matajiri..View attachment 2361897Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
Hawapigi rangi siku ya wageniBahati nzuri wenzetu hawana unafiki,ndio maana Maraisi wetu leo wamepandishwa Majinja coach huko
🤣hiyo ikulu ya mama ako pesa zinatoka kwao
Hii tabia ipo sanaHizi ndiyo akili za waTanzania umbea tu umewazidi kazi kuchungumza mambo ya wenzio we ni shoga?