Pamoja na mbwembwe zote za UK kumbe Buckingham Palace imechoka hivi

Ingekuwa Afrika kiongozi amefariki wangepiga rangi, barabara kama zina mashimo yanafukiwa lakini huu MSIBA viongozi wetu wa AFRIKA watakuwa wamefundishwa mengi si kufanya UKARABATI KISA AMEFARIKI KIONGOZI MKUBWA ila ikiwemo kupanda DALADALA pia.
Sasa hiyo sehemu ni ya mwaka 1500 huko mpaka leo
Wenzetu sehemu zao za historia zinabakia kama zilivyo
Wakati huku sehemu zetu za kumbukumbuku tunazivunjaaa
Unafikiri vizazi wanaachiwa nn kuja kujuwa

Ova
 
Hawana makuu, ndio maana mabwenyenye wetu walipanda school bus😂
 
Sasa hiyo sehemu ni ya mwaka 1500 huko mpaka leo
Wenzetu sehemu zao za historia zinabakia kama zilivyo
Wakati huku sehemu zetu za kumbukumbuku tunazivunjaaa
Unafikiri vizazi wanaachiwa nn kuja kujuwa

Ova
Ni kweli
Huko kuna sheria za kulinda nyumba za zamani...nyingi zinaitwa Cottages
Sasa uingie kibongobongo ununue halafu eti uvunje, kesi inakuhusu
Hata kuikarabati ni kuna mafundi wake special na gharama kubwa kinoma
 
Back
Top Bottom