Pamoja na mbwembwe zote za UK kumbe Buckingham Palace imechoka hivi

View attachment 2361897Tazama namna ukuta ulivochoka bomba zomepasuka zinavuja
Kuna ukarabati mkubwa unaendelea katika kasri ya Buckingham. Unge Google kabla ya kukimbilia kuposti ungejua hilo.

"A ten-year renovation programme is currently underway at Buckingham Palace, at a total cost of Β£369million, which aims to replace the electrical cabling, plumbing and heating."

Amandla...
 
Ingekuwa Afrika kiongozi amefariki wangepiga rangi, barabara kama zina mashimo yanafukiwa lakini huu MSIBA viongozi wetu wa AFRIKA watakuwa wamefundishwa mengi si kufanya UKARABATI KISA AMEFARIKI KIONGOZI MKUBWA ila ikiwemo kupanda DALADALA pia.
 
🀣🀣
 
Kweli Wa Africa umbea ni jadi yetu.. huyu ukute ana miliki page ya udaku insta πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kama kuna kitu mama hajapenda ni ile picha basi tu ni kwakuwa cheo chake kinambana na kumpa mipaka nini aongee nini aache.

Akirudi angewachamba hivi " nyooolooo walosema nimepanda bus nyie na ukoo wenu mtafikaga hata uk? Bora hata mimi nimeingia Palace na kuona jeneza la queen nyie ntaishiaga kwenye runinga nyau nyinyi" nfyuuuxxx 🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…