Pamoja na mgomo wa wafanyabiashara, mimi nasimama upande wa TRA

Wafanyabiashara Walipe KODI, waache Janja janja....!

Mbona Watumishi Wanamakato Kibao ya Kodi mbali mbali... !

Gross Salary ya Mtumishi inakatwa mpaka take home inabakia kiduchu na Hawagomi....!
Take home huwa inabaki kati ya 50% na 67%.... na Watu hawalalamiki.....

Kodi ndio inayoendesha nchi hata Marekani watu hawasusii Kodi
 
KITIMOTO wewe
 
Tatizo la wafanyabiashara wa Tanzania ambao wanashiriki mgomo hawajui wanataka nini, hawajui kwanini wanagoma.

Wafanyabiashara wetu ni kama ile jinsia ya "xx chromosomes" haijuagi inataka nini.

Niko upande wa TRA.
 
Kodi itozwe mara moja tu mzigo ukiingia bandarini na sio hii ya bandarini Kodi kariakoo Kodi ukinunua kariakoo ukileta mikoani kodi tena.
Mzigo mmoja kutozwa kodi zaidi ya mara tatu uoni kwa TRA wanapingana na sheria ya Kodi na ni kuibia wananchi.
 
Tanzania chini ya CCM sio salama kwa kufanya biashara yoyote. Biashara zinaweza kufanyika vyema siku CCM watakapoondoka madarakani
 
Unafanya kazi TRA ?
 
Kwanini hawatoi risiti Halali? ushawahi kujiuliza Hilo swali?
 
Hawawezi kutoa risiti kwa sababu wananunua bidhaa bila documents yoyote (magendo&michongo),vitu vinavyozalishwa ndani ndio wanatoa receipts maana ni rahisi kudai returns na documents zipo
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…