Superleta
JF-Expert Member
- Aug 2, 2019
- 575
- 655
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.
Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.
Naogopa kwamba yakitukuta kama ya Waethiopia walivyo na maisha magumu wanakimbia nchi kila siku, hakuna ajira na watumishi kule hawajapanda madaraja jamaa mmoja nachat nae mwithiopia alibahatika kupata nafasi ya ajira ana degree mshahara dola 60 kwa mwezi na hakuna cha kupanda madaraja.
Tanzania itafanana na Ethiopia, nahofia sana.