kasulavenance
JF-Expert Member
- Jan 23, 2020
- 759
- 914
Wahabeshi watamu hatari! Air Tanzania kachukueni baadhi ya madada kule!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Najua gunzi linakutekenya ndio maana unawaza kichupi chupiChukua size yako mtoto mzuri,ukasuguliwe vzr.View attachment 1586428
Bado nakutafutia bikini itayo kutoa chicha.Najua gunzi linakutekenya ndio maana unawaza kichupi chupi
Gunzi kweli linafanya kazi kuliko mtalimbo endelea kushereheka na gunziBado nakutafutia bikini itayo kutoa chicha.View attachment 1586432
Njaa na civil war zinawakimbiza si kingine,kuna ukabila wa kiwango cha degreeWewe unajua historia ya ethiopia na hari yake mazingira ,nenda katafute alafu urudi hiyo hoja.
Vita ya Eritrea na Ethiopia ilasha isha kitambo. Soma hoja, Ethiopia ina miondombinu safi na bora kuliko Tanzania wamejenga reli ya SGR, sana ndege nyingi, barabara nzuri kuliko na mengine mengi kuliko Tanzania, lakini wananchi wao wana HALI mbaya kimaisha. Hili ndilo tatizo la kuweka mbele zaidi kipaumbela cha vitu kuliko maendeleo ya watu. Ndo maana wa Ethiopians wanakimbia nchi yao licha ya miradi mikubwa walio nayo.Wewe unajua historia ya ethiopia na hari yake mazingira ,nenda katafute alafu urudi hiyo hoja.
Vita vya wenyewe kwa wenyewe....kuna watu wanatamani ije TZ hii kitu!Naona WAPINZANI wamelishikia Bango jambo hili. Naomba niseme kwamba, they are just trying to Politicize this issue of Ethiopians Flow
Kuna Documentary moja niliipitia inasema, "Apart from war and political violence, ecological degradation, famine, and poverty are historically among the major causes of migration in Ethiopia"
Wanachokikimbia wale jamaa ni NJAA na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE. Kwa asilimia kubwa mambo hayo ndo sababu.
Tz hatuna vitu ivyo. Hvo, naisihi serikali ya CCM kukazia hapahapa. Miundombinu yakutosha ijengwe ili soon tule bata.
Uzi umeishaaaa..!!
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.
Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.
Naogopa kwamba yakitukuta kama ya Waethiopia walivyo na maisha magumu wanakimbia nchi kila siku, hakuna ajira na watumishi kule hawajapanda madaraja jamaa mmoja nachat nae mwithiopia alibahatika kupata nafasi ya ajira ana degree mshahara dola 60 kwa mwezi na hakuna cha kupanda madaraja.
Tanzania itafanana na Ethiopia, nahofia sana.
Wewe ni mjinga,sasa kama ndege,flyovers,SGR na Hydro power ni maendeleo kama mnavyowaaminisha watanzania ,imekuwaje Ethiopia wana njaa hadi kukimbia nchi yao? Maana kama ni ndege wana ndege 125 za ukubwa tofauti,wana bwawa kubwa la umeme,wana SGR inayofanya kazi as we speak,sasa njaa yao inatoka wapi? Kuhusu Vita ya wenyewe kwa wenyewe,hivi Ethiopia vita ya wenyewe kwa wenyewe inapiganwa maeneo gani? Please help me to understandNaona WAPINZANI wamelishikia Bango jambo hili. Naomba niseme kwamba, they are just trying to Politicize this issue of Ethiopians Flow
Kuna Documentary moja niliipitia inasema, "Apart from war and political violence, ecological degradation, famine, and poverty are historically among the major causes of migration in Ethiopia"
Wanachokikimbia wale jamaa ni NJAA na VITA VYA WENYEWE KWA WENYEWE. Kwa asilimia kubwa mambo hayo ndo sababu.
Tz hatuna vitu ivyo. Hvo, naisihi serikali ya CCM kukazia hapahapa. Miundombinu yakutosha ijengwe ili soon tule bata.
Uzi umeishaaaa..!!
Tatizo kubwa la Magu ni ukosefu wa exposure to the extent that amekuwa mshamba wa kiwango cha juu mno na ameambukiza upuuzi huu kwa watanzania walio wengi kwa kuwa tu ni masikiniNawashangaa sana washamba wenzangu wa CCM ambao kila siku ooh sijui tumejenga reli, sijui ooh kuna bwawa kubwa la umeme, sijui madaraja mara elimu bure.
Ushamba ni kitu kibaya sana, muwe na exposure mtembee mjionee duniani kuna nini, acheni kupiga kelele kudanganya Watanzania kwa hadaa zenu.
Hivi Afrika kuna nchi yenye miundombinu bora ya reli na barabara kama Ethiopia? Hivi hii Dar Es Salaam yetu inaweza kufikia hata nusu ya linavyopendeza jiji la Adis Ababa? Mnajuwa ni limi Ethiopia walijenga SGR na ubora wao ukoje? Mnajua raia wa Ethiopia Elimu yao kuanzia msingi hadi chuo kikuu wanapataje? Mnajua kua Ethiopia ndio nchi pekee Afrika yenye mandege mengi ya Abiria?
VIPO KUHUSU MAENDELEO NA UMASKINI ETHIOPIA?
Pamoja na mambo mazuri serikali ya Ethiopia bado kuna vuguvugu la kutaka kupinduana kwa watawala wa nchi hiyo. Ndiyo nchi inayoongozwa Afrika kwa Raia wake kukimbia kwenda mataifa mengine kwenda kutafuta ajira. Acheni kudanganyana maendeleo ya vitu hayajawahi kubadili maisha ya wananchi hata siku moja.
MABADILIKO SASA KIDOGO YANAREJEA ETHIOPIA
Ni baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu mpya wa zamani wa nchi hiyo na kuingia kwa waziri mpya mkuu Abiy Ahmed ambaye amekuja na mfumo tofauti kuendesha taifa hilo angalau kwa kusikiliza raia wanataka nini.
Hata muephiopia kuja Tanzania kutembea kihalali anatakiwa kutoa taarifa three weeks before safari yake,lakini pia waethiopia below 40 years of age hawaruhusiwi kuingia USANadhani nchi ambayo tunakamata waharamiaji kwa wingi ni Ethiopia!