Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

Huyu wa kwetu tutamuwahi mapema, hata kwa kumroga ili tu asije akaifanya nchi yetu kuwa kama hiyo Ethiopia! Nani anataka kufia kwenye makontena akikimbia hali mbaya ya maisha nchini!
 
Eeeh ya Ethiopia ili tulinganishage! mwee
1600185768690.png
1600185815626.png
1600185976528.png
 
Kwanini Ethiopia pamoja na kuwa na fly over,
Shirika kubwa la ndege,
Treni za umeme
Bwawa kubwa la umeme
Lakini ndio wanaongoza kukimbia nchi yao na kwenda nje kwa Nini?

Je mafly over sio kipimo cha maendeleo? Kama Wana maendeleo kwanini wakimbie kwao.
IMG-20200930-WA0034.jpg
 
Kwanini Ethiopia pamoja na kuwa na fly over,
Shirika kubwa la ndege,
Treni za umeme
Bwawa kubwa la umeme
Lakini ndio wanaongoza kukimbia nchi yao na kwenda nje kwa Nini?

Je mafly over sio kipimo cha maendeleo? Kama Wana maendeleo kwanini wakimbie kwao.View attachment 1585846
Bwawa lao la umeme will take years kulijaza, hivyo productivity yake will take some time, hivyo sasa hivi ni uwekezaji tu.
Hivyo hakuna hizo furusa.

The controversy over the Grand Ethiopian Renaissance Dam
ethiopia grand renaissance dam from www.brookings.edu

5 Aug 2020 · Recently, the tensions among Egypt, Sudan, and Ethiopia over the Grand Ethiopian Renaissance Dam .
 
Hakuna dikteta yeyeto duniani amewahi leta maendeleo ya watu
 
Watu hawaelewi tu lazima uanze na watu then maitaji yao yataleta vitu...Ethiopia Addis Ababa ni bonge LA jiji lenye Barabara za kila aina, chini kwa chini, flyovers, SGR, uwanja was ndege bora kabisa madege zaidi ya 150.. Nina marafiki wa kiethiopia pia nimeishi sana Addis hakuna RAIA anayeipenda nchi yao hali ni mbaya mnoo..
Hivi ni kwanini serikali ya Ethiopia ilishaamua maisha ya wananchi wake yawe magumu kiasi kile?
 
Bwawa lao la umeme will take years kulijaza, hivyo productivity yake will take some time, hivyo sasa hivi ni uwekezaji tu.
Hivyo hakuna hizo furusa.
Na ndege zao zaidi ya 100 zimewasaidiaje raia wa kawaida wa nchi hio?

Ma flyover yao pale Addis Ababa yamezuiaje waethiopia wasije kufia kwny makontena huku bongo?Tena wana ma-flyover ya ukweli kweli achana na hizi za mfugale type

Productivity za SGR zao zimewasaidiaje wana nzengo wa huko?

Wao Ethiopia kua Africa’s leading international hub kumewasaidiaje raia wao?Na by the way kiwanja chao cha Ndege kikubwa cha Bole Intl Airport kiko kwny top 5 ya viwanja vikubwa Africa.
 
Unajua ukiwa na low thinking capacity , arguments zako zinakuwa kama ulivyoweka,
Ethiopian airlines imekuwepo kwa miaka mingapi vs ATCL
Population yao ipoje?
Walikuwa na utawala wa aina gani .
Wamepigana vita na somalia kwa miaka mingapi??
Na internal wars zao za Eriteria kujitenga etc .
Hiyo SGR yao inajengwa lini ?
Hizo flyovers zimejengwa lini?
Internal conflicts za wa Oromo, dhidi ya makabila mengine au tawala zilizopita, Sasa wewe unakuja tu na story za kijiweni wana ndege ngapi? SGR, Flyovers badala ya kuangalia ni vitu gani vimewarudisha nyuma.

. This bodes ill for a country split by religious, ethnic and political cleavages. While at loggerheads with each other, Ethiopia’s two largest ethnic groups — the Oromo (40 percent) and the Amhara (30 percent) — are increasingly incensed by continuing domination by Tigreans (6 percent).
 
Nawashangaa sana washamba wenzangu wa CCM ambao kila siku ooh sijui tumejenga reli, sijui ooh kuna bwawa kubwa la umeme, sijui madaraja mara elimu bure.

Ushamba ni kitu kibaya sana, muwe na exposure mtembee mjionee duniani kuna nini, acheni kupiga kelele kudanganya Watanzania kwa hadaa zenu.

Hivi Afrika kuna nchi yenye miundombinu bora ya reli na barabara kama Ethiopia? Hivi hii Dar Es Salaam yetu inaweza kufikia hata nusu ya linavyopendeza jiji la Adis Ababa? Mnajuwa ni limi Ethiopia walijenga SGR na ubora wao ukoje? Mnajua raia wa Ethiopia Elimu yao kuanzia msingi hadi chuo kikuu wanapataje? Mnajua kua Ethiopia ndio nchi pekee Afrika yenye mandege mengi ya Abiria?

VIPO KUHUSU MAENDELEO NA UMASKINI ETHIOPIA?
Pamoja na mambo mazuri serikali ya Ethiopia bado kuna vuguvugu la kutaka kupinduana kwa watawala wa nchi hiyo. Ndiyo nchi inayoongozwa Afrika kwa Raia wake kukimbia kwenda mataifa mengine kwenda kutafuta ajira. Acheni kudanganyana maendeleo ya vitu hayajawahi kubadili maisha ya wananchi hata siku moja.

MABADILIKO SASA KIDOGO YANAREJEA ETHIOPIA
Ni baada ya kujiuzulu kwa Waziri Mkuu mpya wa zamani wa nchi hiyo na kuingia kwa waziri mpya mkuu Abiy Ahmed ambaye amekuja na mfumo tofauti kuendesha taifa hilo angalau kwa kusikiliza raia wanataka nini.
Waulize sasa relies ukowapi tunaambiwa inakaribia dodoma propaganda nyingi kuliko kazi
 
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.

Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.

Naogopa kwamba yakitukuta kama ya waethiopia walivyo na maisha magumu wanakimbia nchi kila siku, hakuna ajira na watumishi kule hawajapanda madaraja jamaa mmoja nachat nae mwithiopia alibahatika kupata nafasi ya ajira ana degree mshahara dola 60 kwa mwezi na hakuna cha kupanda madaraja.

Tanzania itafanana na Ethiopia, nahofia sana.
Sisi hatuchagui miundombinu tutachagua amani na furaha mioyoni.
 
Jamani ni kweli tunafata nyayo za Ethiopia? Nauliza maana ni kama tunaanza kufanana ndege, mareli, umeme miradi, mbona kama tunafanana nao tu halafu wao pia hawatoagi ajira na serikali inadhibiti kila kitu.

Halafu wao wanaangalia maendeleo ya vitu kama sisi tu tumeanza kufanana nao.

Naogopa kwamba yakitukuta kama ya waethiopia walivyo na maisha magumu wanakimbia nchi kila siku, hakuna ajira na watumishi kule hawajapanda madaraja jamaa mmoja nachat nae mwithiopia alibahatika kupata nafasi ya ajira ana degree mshahara dola 60 kwa mwezi na hakuna cha kupanda madaraja.

Tanzania itafanana na Ethiopia, nahofia sana.
Pamoja na flyover, sgr, bado watanzania wa kigoma wanakunywa tope, hawana ajira, wanatekwa na kuuawa, umeme shida.

Waethiopia tujitafakari
 
Kutembea kwako na gunzi kama stopper na kitekenyo unafikiria watu wote ni hivyo.
Hilo bwawa Lao halijaanza na nimeishakueleza hilo lakini bado akili yako haijaliona hilo jambo kisa gunzi linakusumbua au kukufurahisha, naona nikuache na starehe zako maana unakuwa kama kumpigia mbuzi gitta
Mtoto mzuri pandisha hio nguo vzr.
Screenshot_2020-10-01-00-11-28-1.jpg
 
Back
Top Bottom