Pamoja na miundombinu bora ya Ethiopia, bado Wananchi ni masikini. Watanzania tujitafakari

Huyu wa kwetu tutamuwahi mapema, hata kwa kumroga ili tu asije akaifanya nchi yetu kuwa kama hiyo Ethiopia! Nani anataka kufia kwenye makontena akikimbia hali mbaya ya maisha nchini!
 
Kwanini Ethiopia pamoja na kuwa na fly over,
Shirika kubwa la ndege,
Treni za umeme
Bwawa kubwa la umeme
Lakini ndio wanaongoza kukimbia nchi yao na kwenda nje kwa Nini?

Je mafly over sio kipimo cha maendeleo? Kama Wana maendeleo kwanini wakimbie kwao.
 
Bwawa lao la umeme will take years kulijaza, hivyo productivity yake will take some time, hivyo sasa hivi ni uwekezaji tu.
Hivyo hakuna hizo furusa.

The controversy over the Grand Ethiopian Renaissance Dam


5 Aug 2020 · Recently, the tensions among Egypt, Sudan, and Ethiopia over the Grand Ethiopian Renaissance Dam .
 
Hakuna dikteta yeyeto duniani amewahi leta maendeleo ya watu
 
Hivi ni kwanini serikali ya Ethiopia ilishaamua maisha ya wananchi wake yawe magumu kiasi kile?
 
Bwawa lao la umeme will take years kulijaza, hivyo productivity yake will take some time, hivyo sasa hivi ni uwekezaji tu.
Hivyo hakuna hizo furusa.
Na ndege zao zaidi ya 100 zimewasaidiaje raia wa kawaida wa nchi hio?

Ma flyover yao pale Addis Ababa yamezuiaje waethiopia wasije kufia kwny makontena huku bongo?Tena wana ma-flyover ya ukweli kweli achana na hizi za mfugale type

Productivity za SGR zao zimewasaidiaje wana nzengo wa huko?

Wao Ethiopia kua Africa’s leading international hub kumewasaidiaje raia wao?Na by the way kiwanja chao cha Ndege kikubwa cha Bole Intl Airport kiko kwny top 5 ya viwanja vikubwa Africa.
 
Unajua ukiwa na low thinking capacity , arguments zako zinakuwa kama ulivyoweka,
Ethiopian airlines imekuwepo kwa miaka mingapi vs ATCL
Population yao ipoje?
Walikuwa na utawala wa aina gani .
Wamepigana vita na somalia kwa miaka mingapi??
Na internal wars zao za Eriteria kujitenga etc .
Hiyo SGR yao inajengwa lini ?
Hizo flyovers zimejengwa lini?
Internal conflicts za wa Oromo, dhidi ya makabila mengine au tawala zilizopita, Sasa wewe unakuja tu na story za kijiweni wana ndege ngapi? SGR, Flyovers badala ya kuangalia ni vitu gani vimewarudisha nyuma.

. This bodes ill for a country split by religious, ethnic and political cleavages. While at loggerheads with each other, Ethiopia’s two largest ethnic groups — the Oromo (40 percent) and the Amhara (30 percent) — are increasingly incensed by continuing domination by Tigreans (6 percent).
 
Waulize sasa relies ukowapi tunaambiwa inakaribia dodoma propaganda nyingi kuliko kazi
 
Sisi hatuchagui miundombinu tutachagua amani na furaha mioyoni.
 
Pamoja na flyover, sgr, bado watanzania wa kigoma wanakunywa tope, hawana ajira, wanatekwa na kuuawa, umeme shida.

Waethiopia tujitafakari
 
Mtoto mzuri pandisha hio nguo vzr.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…