winnerian
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 408
- 638
1. Awamu ya tano ndio iliyoasisi yanayotokea awamu ya sita na yajayo awamo ya saba
2. Mlipandishiwa mishahara na kupandishwa vyeo.
3. Mlilaani ubabe, udikteta na umimi wa awamu ya tano (msijifanye mmeikumbuka awamu ya tano)
4. Mlisema "never never again" awamu ya tano ilipokufa ikaondoka zake
5. Ni nyie mlioiita awa ya tano jiwe na haikuwa inasikiliza mtu lakini awamu hii ya sita mnaiona inasikiliza kila mtu ndio maana ni dhaifu.
6. Awamu ya tano ndio iliyoacha bunge linalotumika awamu ya sita. Bunge lilisilokuwa na macho wala hisia, bunge la serikali na sio wananchini
7. Nyie nyie ndio mliokuwa mmeichoka awamu ya tano mkaiombea.
8. Sasa mnataka nini nyie? Mnataka nini?