Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
OohMichael daaah nahisi nizaidi kidogo ya Bob
So bob ndio zaidi?Kila mzuiki una mtu wake mashuhuri, kwenyr rege bob hawezi sahaulika, kwenye pop michael hawezi sahaulika, kwenye hip hop 2pac hawezi sahaulika, ukisema nani maarufu lazima ujue kila mtu ana zama zake hapo, bob alikuwa maarufu sana hata akiwa marehemu jina lake lilivuma sawa na michael alipokuwa mzima, bob alipendwa sana na kizazi fulani na jamii fulani....mziki wa bob unasikilizwa sana kuliko mziki wa michael kwa sasa....
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?
NANI ZAIDI?
WaambieeDunia Bado haijamiliki Mwanamuziki maarufu wa kufikia viwango bya Wacko Jack kabla Na baada ya Mchawi huyo
Nani zaidiiiWote wawili walikuwa vizuri sana. Try to appreciate both of them in their own right.
[emoji23][emoji23]Mkuu, wote walikuwa vizuri sana, huwezi Nani alikuwa zaidi.
Nani zaidiiMkuu, wote walikuwa vizuri sana, huwezi Nani alikuwa zaidi.
Hapo mkali ni Diamond platnamzNani zaidiii
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?
NANI ZAIDI?
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?
NANI ZAIDI?
WowwWacko jackal ni kama Cr7
Wako jacko alitisha mkuuHao wote wakiimba music tofauti wenye ujumbe tofauti.kwangu Mimi wasanii bora hadi sasa na watakaoendelea kuwa bora hadi naingia kaburini ni Lucky Dube,Michael Jackson na 2pac watu hawa kila siku ziendazo kwa mungu lazima nisikilize nyumba