Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Bob marley aliishi miaka 36 tu,na Michael jackson aliishi miaka 50 lakini Bob anakubalika na wengi kuliko MJ,

Bob ameendelea kua maarufu na kupendwa hata na kizazi kilicho kuja na kukuta kisha fariki,

Bob marley kafa miaka 37 iliyopita lakini utafikiri kafa miaka miwili nyuma tu!
Bob is still alive,

Namkubali MJ but Bob acheni aitwe Bob,nyimbo zake ni darasa tosha kabisa katika maisha ya kila siku.
 
Kila mzuiki una mtu wake mashuhuri, kwenyr rege bob hawezi sahaulika, kwenye pop michael hawezi sahaulika, kwenye hip hop 2pac hawezi sahaulika, ukisema nani maarufu lazima ujue kila mtu ana zama zake hapo, bob alikuwa maarufu sana hata akiwa marehemu jina lake lilivuma sawa na michael alipokuwa mzima, bob alipendwa sana na kizazi fulani na jamii fulani....mziki wa bob unasikilizwa sana kuliko mziki wa michael kwa sasa....
Yap thats true
 
Michael michael hahaha
Michael Jackson ile ilikuwa namba nyingine. Alikubalika na mabara yote na races zote. Nilibahatika kuingia show yake moja du... ilikuwa ni balaa! Bob Marley naye japo alikuwa maarufu lakini hawezi kumfikia Michael. Ukiangalia kada kama za wazungu wengi walikuwa hawamhusudu kihivyo. Jaribu ku-google ''list of best musicians of all time'' uone majibu kutoka platform za kila aina.
 
Hahaha waambie hao hahaha
 
Kuna watu Tanzania hapa ukiwatajia Michael Jackson hawajawahi hata kusikia lakini Bob Marley hata vijijini watu wanamjua!...Michael kiukweli alikuwa kipenzi cha wazungu zaidi ndo wakamualibu hadi sura akawa kama nyani ili afanane nao!
daaaahh wewe Jamaa unavuta bangi sio bure ...waambie ndugu zako wakuwahishe rehab... utadata aiseee
 
pigeni makelele fanyeni mjuavyo muwezavyo...."" lakini record kubwa zote za kimataifa "" zinazohusu industry ya music duniani...zina milikiwa na Michael ..."" na muheshimu mnooo Bob ...kutokana ma mchango wake mkubwa aliouacha duniani kuhusu kuleta mapinduzi yakifikira katika Jamii ya watu weusi.."" lakini Michael Jackson nimiongoni mwa watu walioweza kuwaunganisha watu wote duniani "" iwe mchina .Muhindi.mwarabu." mweusi." mzungu." etc.......Michael ndio msanii wa kwanza mweusi duniani ..kuleta mapinduzi ya kufanya media zilizokuwa hazichezi music ya watu weusi zianze kucheza nyimbo zao ......."" ana kila rec..nzuri na ya ubora ambayo mpaka sasa haijawahi kufikiwa ... documentary za show zake tu nikielelezo tosha...mpaka leo hii hkuna msanii ""ambaye" alikuwa anajaza watu katika show zake "" na kutoa performance Kali ..kama MJ..nahakuna msanii aliyekuwa na mvuto duniani kama MJ.. nampaka leo hii hajatokea bado "" ..mj aliwafnya wasanii wenzake wenyewe wawe wana copy nyimbo zake " na kuzirudia..wengine wakiiga mpak style ya uvaaji na uchezaji katik video zao,. ......endleeni kupinga
 
Woyooooo
 
Let me declare kwamba ni shabiki wa MJ

Lakini Ogopa sana mtu ambae hatumii nguvu kuwa star...anatumia tu kipaji chake naturally

Bob marley angetumia nguvu alizotumia MJ sijui ingekuwaje
Hahaha mbona povuu
 
Acha ujinga...

Umeanzisha uzi...ungetuacha tutoe maoni...

Sasa kuna maana gani kuanzisha uzi ilhali ushachagua upande.

NASISITIZA...

MWACHENI BOB AITWE BOB.....
Nothing compares to him.
Nini mkuu
 
Back
Top Bottom