Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Pamoja na mziki wao kuwa tofauti je kati ya Michael Jackson na Bob Marley nani alikubalika zaidi ulimwenguni

Kila mzuiki una mtu wake mashuhuri, kwenyr rege bob hawezi sahaulika, kwenye pop michael hawezi sahaulika, kwenye hip hop 2pac hawezi sahaulika, ukisema nani maarufu lazima ujue kila mtu ana zama zake hapo, bob alikuwa maarufu sana hata akiwa marehemu jina lake lilivuma sawa na michael alipokuwa mzima, bob alipendwa sana na kizazi fulani na jamii fulani....mziki wa bob unasikilizwa sana kuliko mziki wa michael kwa sasa....
Good analysis.
 
Mnyama
hqdefault.jpg

 
Kuna watu Tanzania hapa ukiwatajia Michael Jackson hawajawahi hata kusikia lakini Bob Marley hata vijijini watu wanamjua!...Michael kiukweli alikuwa kipenzi cha wazungu zaidi ndo wakamualibu hadi sura akawa kama nyani ili afanane nao!
Sawa
 
Bob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?

NANI ZAIDI?
hakuna aliyemzidi mwenzie. Bob alikuwa maarufu halikadhalika Mike. Nani asiyewajua? Hata waliowakuta wameshakufa wanawajua
 
Back
Top Bottom