Richard R Monyo
JF-Expert Member
- Jan 21, 2018
- 242
- 265
- Thread starter
-
- #21
Yap michael alikuwa na vipaji vingi kudance usipime, kuimba hadi kuigiza, angalia Thriller balaa lakesMichael alikuwa ana dance pia...Bob alikuwa anapanda jukwaani kavuta bangi, hivyo anashindwa kudance anaishia kutingisha rasta.
[emoji23][emoji23]Hapo mkali ni Diamond platnamz
Good analysis.Kila mzuiki una mtu wake mashuhuri, kwenyr rege bob hawezi sahaulika, kwenye pop michael hawezi sahaulika, kwenye hip hop 2pac hawezi sahaulika, ukisema nani maarufu lazima ujue kila mtu ana zama zake hapo, bob alikuwa maarufu sana hata akiwa marehemu jina lake lilivuma sawa na michael alipokuwa mzima, bob alipendwa sana na kizazi fulani na jamii fulani....mziki wa bob unasikilizwa sana kuliko mziki wa michael kwa sasa....
Bob ni kama MaradonaWacko jackal ni kama Cr7
HhhmmmBob ni kama Maradona
HatariMnyama
SawaKuna watu Tanzania hapa ukiwatajia Michael Jackson hawajawahi hata kusikia lakini Bob Marley hata vijijini watu wanamjua!...Michael kiukweli alikuwa kipenzi cha wazungu zaidi ndo wakamualibu hadi sura akawa kama nyani ili afanane nao!
HahahaMichael Jackson hukuwa mtu wakawida yule kiumbe
hakuna aliyemzidi mwenzie. Bob alikuwa maarufu halikadhalika Mike. Nani asiyewajua? Hata waliowakuta wameshakufa wanawajuaBob Marley aliimba Reggie na Michael Jackson aliimba Pop style, lakini kila mmoja wao alijizolea umaarufu mkubwa ulimwenguni kutokana na kazi zao kuvuta hisia za watu wengi
View attachment 787003
Pia wengi wanasema Bob marley nyimbo zake zilikuwa na mashairi yenye ujumbe mzito ambao ulivutia watu wengi. Na Michael jackson nae hivyo hivyo
View attachment 787005
Je kati ya hawa nani ambaye alitisha zaidi na hatokaa asaulike pamoja na aina za miziki yao kuwa tofauti?
NANI ZAIDI?