Pamoja na Rais Samia kuwabeba kwa mbeleko CHADEMA. ACT Wazalendo yazidi kukubalika kwa wananchi. CHADEMA yaonekana ni CCM B

Pamoja na Rais Samia kuwabeba kwa mbeleko CHADEMA. ACT Wazalendo yazidi kukubalika kwa wananchi. CHADEMA yaonekana ni CCM B

Idugunde

JF-Expert Member
Joined
May 21, 2020
Posts
6,404
Reaction score
6,969
Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania.

Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na sasa wanakubalika japokuwa nao ni tatizo la kisiasa.👇
20230308_203838.jpg
20230308_203843.jpg
 
ACT ni chama cha CUF kilichobadilisha koti. Kimekita mizizi Pmba huko. Bara huku ACT haijulikani.

Kama mleta mada ni mpemba basi rudia kuandika heading ya uzi wako iendane na ukweli.
 
ACT wameachwa kama yatima. Si ajabu wakatwaa viti vingi vya ubunge 2025 kuliko CHADEMA.
 
Back
Top Bottom