Idugunde JF-Expert Member Joined May 21, 2020 Posts 6,404 Reaction score 6,969 Mar 8, 2023 #1 Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania. Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na sasa wanakubalika japokuwa nao ni tatizo la kisiasa.👇
Huo ndio ukweli usiopingika. Chadema sasa wamejirasmisha ni CCM B. Maneno haya yalifamkwa na Mzee Mwinyi mwaka 1995 leo yanatimia kwa macho ya watanzania. Act wazalendo wanazidi kupaa na kupaa na sasa wanakubalika japokuwa nao ni tatizo la kisiasa.👇
S Sexless JF-Expert Member Joined Mar 11, 2017 Posts 23,683 Reaction score 55,898 Mar 8, 2023 #2 ACT ni chama cha CUF kilichobadilisha koti. Kimekita mizizi Pmba huko. Bara huku ACT haijulikani. Kama mleta mada ni mpemba basi rudia kuandika heading ya uzi wako iendane na ukweli.
ACT ni chama cha CUF kilichobadilisha koti. Kimekita mizizi Pmba huko. Bara huku ACT haijulikani. Kama mleta mada ni mpemba basi rudia kuandika heading ya uzi wako iendane na ukweli.
Uhakiki JF-Expert Member Joined May 18, 2017 Posts 7,288 Reaction score 7,704 Mar 8, 2023 #3 ACT wameachwa kama yatima. Si ajabu wakatwaa viti vingi vya ubunge 2025 kuliko CHADEMA.