Pamoja na safari nyingi za JK lakini tulikula bata

JK alisafiri kila leo, Alijenga Shule nyingi za Kata, Aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, Kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1 ilikuwa 1,600 tu.

View attachment 2342821
Alilifanyia nini taifa letu kwenye upande wa kukuza uchumi na kutokomeza umaskini?
 
Tulitaka kiongozi bora kuliko huyu, lakini wanaokuja wanafanya tutamani kumpata hata kama huyu tu.
 
JK alisafiri kila leo, Alijenga Shule nyingi za Kata, Aliajiri Watumishi wengi kila mwaka, alipandisha Mishahara na pia alilipa hadi Watumishi hewa bila TOZO, Kitaa Maisha yalikuwa mazuri dola 1 ilikuwa 1,600 tu.

View attachment 2342821
agombee tena na lowassa awemo, tubadili katiba. hawa wa siku hizi tunaona chengachenga mno
 
Kuna jitu lilikuwa linajifungia lkn maisha yakawa balaa. Likashindwa kuongeza hata mishahara.
 
Rais fisadi kuliko wote, nchi ikawa dampo la madawa ya kulevya, mikataba ya kijingajinga, nk. Tunauheshimu urais, lakini siyo yeye.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…