Pamoja na safari zote Arabuni mafuta hayajashuka

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
9,846
Reaction score
20,319
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda

Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita maelezo na kutembelea uarabuni kila mwezi lakini mafuta hayajashuka

The more kuzurura the more pain to Tanzanians....Halafu mnasema anaupiga mwingi

Safari za nje zimeleta tija gani?

Mbona mafuta hayajashuka?
 
Pia kumbuka wajukuu wa mtume nao wanapiga pesa ya mafuta mara ya mwisho mwisho. Ongezeko la matumizi ya umeme kwenye magari badala ya mafuta huko Asia, ulaya na marekani ni arlet ya kudondoka kwa soko la mafuta duniani.

Pia mataifa mengi hivi Sasa yanajiboresha kwenye kutumia nyuklia kuendeshea viwanda na mitambo mikubwa.

Ukute safari za bimkubwa zimepunguza bei kupanda kwa kiwango kikubwa
 
Kujaribu ni bora kuliko kukaa tu,
Anaenda kujaribu kunegotiate bei nzuri, ikishindikana si bas, kuliko kutojaribu kabisa,

Btw, waarabu wameonja utamu wa bei ya juu, usitegemee bei ya mafuta itashuka siku za karibuni
Kujaribu kupi anachojua ni kurembua tu
 
H
Pia kumbuka wajukuu wa mtume nao wanapiga pesa ya mafuta mara ya mwisho mwisho. Ongezeko la matumizi ya umeme kwenye magari badala ya mafuta huko Asia, ulaya na marekani ni arlet ya kudondoka kwa soko la mafuta duniani.

Pia mataifa mengi hivi Sasa yanajiboresha kwenye kutumia nyuklia kuendeshea viwanda na mitambo mikubwa.

Ukute safari za bimkubwa zimepunguza bei kupanda kwa kiwango kikubwa
Hamna kitu anaweza
 
Pamoja na safari za nje kuongezeka kwa kasi na kuvunja rekodi ya nchi ambayo rais wake hufanya safari sana still mafuta yanazidi kupanda

Pamoja na hii serikali kujipendekeza kwa waarab kupita maelezo na kutembelea uarabuni kila mwezi lakini mafuta hayajashuka

The more kuzurura the more pain to Tanzanians....Halafu mnasema anaupiga mwingi

Safari za nje zimeleta tija gani?

Mbona mafuta hayajashuka?
Kwani safari zilikuwa za kuomba Mafuta?
 
Huyo huwa anafuata vijora vyake na si kww ajili yako
 
Back
Top Bottom