Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

Kurunzi

JF-Expert Member
Joined
Jul 31, 2009
Posts
9,753
Reaction score
10,747
Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
 
Attachments

  • IMG-20220908-WA0103.jpg
    IMG-20220908-WA0103.jpg
    56.4 KB · Views: 2
Sioni tatizo as long wapo kwenye mchakato wa kutafuta kocha.
Kocha kaondoka, mechi imefika, wafanyeje?
 
Hahahahahaha mimi.ni thiiiiiimbhaaaaàaa
 
shida yule bibi yule chief executive anaipeleka kama digi digi halafu raia wanakomalia pawasa out wanasahau bibi toka alivyowapa makavu maafisa wa tff live nikamuona hafai

Sent from my Infinix X657 using JamiiForums mobile app
 
Si dhani kama kweli hana cheti.

Ni vitasa vya jana tu hivyo vimewatia aibu wameamua kurekebisha kiaina.
 
Tatizo hapa ni kuondoka kwa kocha mzungu tukiwa karibu kabisa na mechi ya kimataifa, haya maamuzi wanayofanya Simba SC kwasasa siwalaumu, hawakuwa na muda wa kutosha kujiandaa ili kumpata kocha anayefaa, wavumiliwe tu, hawakuwa na muda wa kutosha kupitia CV.
 
Tuliambiwa simba imeeachana na Zoran, so walischana bila ya kuwa na mpango mbadala?

Kama kungekuwa na viongozi makini haya yasingetokea
 
Tatizo hapa ni kuondoka kwa kocha mzungu tukiwa karibu kabisa na mechi ya kimataifa, haya maamuzi wanayofanya Simba SC kwasasa siwalaumu, hawakuwa na muda wa kutosha kujiandaa ili kumpata kocha anayefaa, wavumiliwe tu, hawakuwa na muda wa kutosha kupitia CV.
Nakubaliana na wewe lakini wangeweka wazi . Inawezekana walijua kocha wa Simba Queen ndio atatumika kama kocha mkuu kwenye mechi hiyo tu kwasababu ya vyeti lakini Mgunda ndio kaimu kocha mkuu kipindi cha mpito.
 
Back
Top Bottom