Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

Pamoja na Simba Kumchukuwa Mgunda, Hana Leseni Daraja A, Kocha wa Simba Queen Nkoma Kuiongoza Simba Malawi

Nakubaliana na wewe lakini wangeweka wazi . Inawezekana walijua kocha wa Simba Queen ndio atatumika kama kocha mkuu kwenye mechi hiyo tu kwasababu ya vyeti lakini Mgunda ndio kaimu kocha mkuu kipindi cha mpito.
Kama walikuwa wanajuwa hivyo Kwa nini kocha wa madada hakusafiri na timu?
 
Yaani hata mwezi mmoja haujatimia vizuri tangu ligi ianze timu imefundishwa na makocha wanne na bado mchakato wa kumsaka kocha unaendelea
 
Tatizo hapa ni kuondoka kwa kocha mzungu tukiwa karibu kabisa na mechi ya kimataifa, haya maamuzi wanayofanya Simba SC kwasasa siwalaumu, hawakuwa na muda wa kutosha kujiandaa ili kumpata kocha anayefaa, wavumiliwe tu, hawakuwa na muda wa kutosha kupitia CV.
Zile cv za makocha 200 kipindi kile wanatafuta kocha ndo wakampata zoran vip kwa wale 199 waliobaki hakuna hata mmoja wangemchukua
 
Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
Katika hili simba imezingua sana ie viongozi!!inakuaje unatoa tangazo rasmi wakati hujafanya uchunguzi/uthibitisho!
 
Katika hili simba imezingua sana ie viongozi!!inakuaje unatoa tangazo rasmi wakati hujafanya uchunguzi/uthibitisho!
20220909_102120.jpg
 
Toka Ligi kuu ianze yapata mwezi Mm Makolo Wameongozwa na Makocha:
Zoran
Matola
Mgunda
Nkoma
Total ni Wa4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kuna ubaya gani kama hao wanne ndio wanaifanya timu iendelee kuongoza ligi mpaka sasa
 
Back
Top Bottom