Dr Matola PhD
JF-Expert Member
- Oct 18, 2010
- 60,050
- 104,466
Kama walikuwa wanajuwa hivyo Kwa nini kocha wa madada hakusafiri na timu?Nakubaliana na wewe lakini wangeweka wazi . Inawezekana walijua kocha wa Simba Queen ndio atatumika kama kocha mkuu kwenye mechi hiyo tu kwasababu ya vyeti lakini Mgunda ndio kaimu kocha mkuu kipindi cha mpito.
Zile cv za makocha 200 kipindi kile wanatafuta kocha ndo wakampata zoran vip kwa wale 199 waliobaki hakuna hata mmoja wangemchukuaTatizo hapa ni kuondoka kwa kocha mzungu tukiwa karibu kabisa na mechi ya kimataifa, haya maamuzi wanayofanya Simba SC kwasasa siwalaumu, hawakuwa na muda wa kutosha kujiandaa ili kumpata kocha anayefaa, wavumiliwe tu, hawakuwa na muda wa kutosha kupitia CV.
Katika hili simba imezingua sana ie viongozi!!inakuaje unatoa tangazo rasmi wakati hujafanya uchunguzi/uthibitisho!Huu ni uhuni, pamoja na kelele zote kumbe hata leseni A ya CAF hana, simba panashida sana, ujanja mwingi hakuna kitu.
Kwa hiyo wewe hiyo barua hapo juu hujaielewa? Au umekuja na jibu lako tu?Katika hili simba imezingua sana ie viongozi!!inakuaje unatoa tangazo rasmi wakati hujafanya uchunguzi/uthibitisho!
Katika hili simba imezingua sana ie viongozi!!inakuaje unatoa tangazo rasmi wakati hujafanya uchunguzi/uthibitisho!
Kuna ubaya gani kama hao wanne ndio wanaifanya timu iendelee kuongoza ligi mpaka sasaToka Ligi kuu ianze yapata mwezi Mm Makolo Wameongozwa na Makocha:
Zoran
Matola
Mgunda
Nkoma
Total ni Wa4 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]