[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee mkuu I feel u sasa nini unamaanisha nilikua sijawahi kuiona hii video. Huyu Manara wallah si mzima.
Sasa sio Manara peke yake, hiyo ni tradition ya klabu. We subiri kidogo tu usajili uanze, utakumbuka maneno yangu. Halafu kuna kitu hawa mikia hawajui au pengine wanapenda kujidanganya. Leo nitawaambia wananchi kwa nini Simba ni timu ya hovyo
Simba inasifiwa sana na magazeti ya udaku 'eti inaiwakilisha vizuri Tanzania nje ya nchi', kinyume chake, ni Yanga pekee ndio timu ya Tanzania iliyowahi kwenda kwa watu, ikakinukisha na kurudi na NDOO home. Na si mara moja, ni mara 2.
Simba huyu koko, aliyesifiwa na magazeti ya hovyo, hana historia ya kupanda ndege na kombe. Ni kweli amechukua Kagame (Afrika Mashariki na Kati) mara 6 dhidi ya 5 za Yanga, lakini kama ilivyo asili ya mnyama yeyote 'koko' mambo hayo kayafanyia nyumbani.
Mkuu
k_dizle , Simba wanachochea kuvunjika kwa muungano ili tu Zanzibar iwe nchi na wao wahesabike kuwa wamevuka mipaka na kombe. Ikumbukwe kuwa wameshabeba Kagame na Kombe la Maulid huko visiwani. Kombe la Maulid ni lile ambalo Yanga hupeleka kikosi cha pili.
Tunavyoongea
huyu Bwana Mkubwa ambaye ni wakili wa Simba, yupo kizuizini Zurich kwa kuingia Uswis bila Visa. Safari yake huko ni kwenda kudai UBINGWA kufuatia kichapo cha mabao 2-1 kutoka kwa Kagera Sugar kukataa kutanguka kwa albadili za masaa 72.
Simba ni timu ya hovyo.