Mr Antidote
JF-Expert Member
- Jan 11, 2015
- 953
- 1,304
- Thread starter
-
- #161
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu jamaa wana imani sana wamesema hata 7/0 zinatosha halafu yanga apigwe 6/0. Hawa jamaa si watu wa mchezo mchezoNina imani mechi ya mwisho Simba mtashinda 13 - 0
Hahaha Imani hii ndio aliisema masiha. Imani ya kuamisha milima. Mkuu kila kherSawa mkuu ngoja tumfanyie kufuru mwadui
Duuh, mkuu lakini siku ingine usifanye hivyo mpira na wenyewe unadunda. Ila all in alla Yanga ndo habari ya KariakooWatu walivimbisha macho wakisubiri nivae boxer niende kwa mama mkwe na boxer tupu... Maana niliweka ahadi nikajiapiza msimu ulipoanza na Simba akiwa kashika Kasian, nikasema kwamba endapo Simba atachukua ubingwa, nitaenda kwa mama Mkwe mchana kweupe nikiwa na boxer.... Nilijua Yanga hainiangushagi hata! Sasa mikia ikawa wanahesabia siku ya kunisindikiza kwa mama mkwe nikiwa nimevaa boxer... Imekula kwao..
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] labda wakaliibie pale Jangwani manake safari hii tunapewa lote lote.Tulisha waambia Maandamano FC kuwa dawa ya wao kulishika kombe wao Kuliiba TUU teh teh teh View attachment 510383
Pole sana mkuu, Usikate tamaa komaa Na Mbao na wewe upande vitrip vya hapa na pale.Hakika Simba imenidhalilisha sana
Nawajua hawa jamaa, mikele tu, hawachezi mpiraDuuh, mkuu lakini siku ingine usifanye hivyo mpira na wenyewe unadunda. Ila all in alla Yanga ndo habari ya Kariakoo
Hahahahaha mkuu umeua hawa watu wana moyo kama mchungaji wa zimbabwe aliyetembea juu ya maji akaliwa na mamba.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] Mkuu jamaa wana imani sana wamesema hata 7/0 zinatosha halafu yanga apigwe 6/0. Hawa jamaa si watu wa mchezo mchezo
teh teh tehTulisha waambia Maandamano FC kuwa dawa ya wao kulishika kombe wao Kuliiba TUU teh teh teh View attachment 510383
Nawajua hawa jamaa, mikele tu, hawachezi mpira
Simba ni timu ya hovyo
Hahahahaha mkuu umeua hawa watu wana moyo kama mchungaji wa zimbabwe aliyetembea juu ya maji akaliwa na mamba.
Hatimaye shehe Yahya amepata mrithi wake. Utabiri umetimia mkuu kweli namba huwa hazidanganyi.
Hatimaye Ligi imeisha na niliyoyawaza kwa sauti yametimia. Yanga kawa bingwa kwa mara ya tatu mfulululizo. Hivyo basi niwapongeze tu mashabiki wote (ikiwemo mimi mwenyewe) wa AROSTO FC aka watoto wa jangwani kwa ubingwa.teh teh teh
Usiwape matumaini yasiyokuwepo. Mipango ya Yanga ni kuchukua ubingwa mara 5 mfululizo ndio tupumzike mara moja ili Azam Ice Cream naye achukue ili asikate tamaa ya kufadhili ligi. Baada ya hapo tunapiga miaka mi5 mingine.Hatimaye Ligi imeisha na niliyoyawaza kwa sauti yametimia. Yanga kawa bingwa kwa mara ya tatu mfulululizo. Hivyo basi niwapongeze tu mashabiki wote (ikiwemo mimi mwenyewe) wa AROSTO FC aka watoto wa jangwani kwa ubingwa.
Pia nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri wazee wa mchangani ambao sasa wanabadilika kuwa wazee wa mezani international...Kujipanga sio kitu kibaya, mwakani pia ligi kuu ipo......Ushahuri tu jitahidini kucheza mpira uwanjani mambo ya mezani waachieni watu wa pool table.....Jitahidini mkomae na Mbao japo tupishane huko angani.
Niwashukuru wote tuliokutana hapa katika uzi huu na pia tusameheane kama tulikwazana na kupishana kauli.
YANGA IMARA, DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] braza una roho ngumu wewe......na wenyewe watu hao ujue.Usiwape matumaini yasiyokuwepo. Mipango ya Yanga ni kuchukua ubingwa mara 5 mfululizo ndio tupumzike mara moja ili Azam Ice Cream naye achukue ili asikate tamaa ya kufadhili ligi. Baada ya hapo tunapiga miaka mi5 mingine.
Wana mdomo sana jirani zetu. We subiri mwanzo wa msimu uone wanavyocheza mpira magazetini, ukisoma headlines unaweza ukakimbia nchi:[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji15] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] braza una roho ngumu wewe......na wenyewe watu hao ujue.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee mkuu I feel u sasa nini unamaanisha nilikua sijawahi kuiona hii video. Huyu Manara wallah si mzima.Wana mdomo sana jirani zetu. We subiri mwanzo wa msimu uone wanavyocheza mpira magazetini, ukisoma headlines unaweza ukakimbia nchi:
KWA SIMBA HII, YANGA MTAKOMA
SIMBA NG'ALU NG'ALU
SIMBA YASHUSHA KIFAA: JANGWANI WAINGIWA MCHECHETO
KOCHA OMOG ATANGAZA UBINGWA KABLA YA MSIMU KUANZA
YANGA WAJIANDAE KUPIGWA 5 ZINGINE
KWA USAJILI HUU NANI WA KUIZUIA SIMBA...
Usifikiri nawaonea mkuu
Mkuu waambie tu ukweli kuwa ubingwa watausikia Jangwani kila msimu............mbona unawaone hurumaHatimaye Ligi imeisha na niliyoyawaza kwa sauti yametimia. Yanga kawa bingwa kwa mara ya tatu mfulululizo. Hivyo basi niwapongeze tu mashabiki wote (ikiwemo mimi mwenyewe) wa AROSTO FC aka watoto wa jangwani kwa ubingwa.
Pia nichukue nafasi hii kuwatakia kila la heri wazee wa mchangani ambao sasa wanabadilika kuwa wazee wa mezani international...Kujipanga sio kitu kibaya, mwakani pia ligi kuu ipo......Ushahuri tu jitahidini kucheza mpira uwanjani mambo ya mezani waachieni watu wa pool table.....Jitahidini mkomae na Mbao japo tupishane huko angani.
Niwashukuru wote tuliokutana hapa katika uzi huu na pia tusameheane kama tulikwazana na kupishana kauli.
YANGA IMARA, DAIMA MBELE NYUMA MWIKO.
Sasa sio Manara peke yake, hiyo ni tradition ya klabu. We subiri kidogo tu usajili uanze, utakumbuka maneno yangu. Halafu kuna kitu hawa mikia hawajui au pengine wanapenda kujidanganya. Leo nitawaambia wananchi kwa nini Simba ni timu ya hovyo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] Aisee mkuu I feel u sasa nini unamaanisha nilikua sijawahi kuiona hii video. Huyu Manara wallah si mzima.
Mungu mwache aitwe Mungu tu.... Huyu jamaa kapunguzwa kitu flani, hayuko sawa kabisa.Wana mdomo sana jirani zetu. We subiri mwanzo wa msimu uone wanavyocheza mpira magazetini, ukisoma headlines unaweza ukakimbia nchi:
KWA SIMBA HII, YANGA MTAKOMA
SIMBA NG'ALU NG'ALU
SIMBA YASHUSHA KIFAA: JANGWANI WAINGIWA MCHECHETO
KOCHA OMOG ATANGAZA UBINGWA KABLA YA MSIMU KUANZA
YANGA WAJIANDAE KUPIGWA 5 ZINGINE
KWA USAJILI HUU NANI WA KUIZUIA SIMBA...
Usifikiri nawaonea mkuu