ibanezafrica
JF-Expert Member
- Oct 23, 2014
- 7,261
- 6,553
Kweli! Mleta mada ni mbaguzi kwel kweli!Acha ubaguzi,na usiwapangie watu cha kushangilia
Si mmeona wenyewe hata hapa wanaonipinga wapo wengi na ndiyo Hawa walikuwa wanataka France ifungwe... Lkn mungu mkubwa kawainua waafrikaSasa tukishabikia weusi au weupe tunalipwa tsh ngapi!?
Kama haileti hela hai make sense
Hakuna cha ukweli wowote apo ,zaidi ya sisi kuanza kujipagua,tatizo tuna jiona inferior kwa ngozi nyeupe,ni mambo ya kizamani,Umeongea kweli, Uzalendo kwanza.
Kua mzalendo, penda asili yako kama wao wanavyoweka mbele asili yao.Hakuna cha ukweli wowote apo ,zaidi ya sisi kuanza kujipagua,tatizo tuna jiona inferior kwa ngozi nyeupe,ni mambo ya kizamani,
Vizuri Pamoja na kujipanga lazima tuonheshe tumekua inspiredHakuna cha ukweli wowote apo ,zaidi ya sisi kuanza kujipagua,tatizo tuna jiona inferior kwa ngozi nyeupe,ni mambo ya kizamani,
Hivi huo msemo fid alimaanisha nini??Sasa tukishabikia weusi au weupe tunalipwa tsh ngapi!?
Kama haileti hela hai make sense
Rangi ya ngozi sio sababu ya kushabikia timu fulani.Sie waafrika cjui tumerogwa na nani yaani pamoja na Timu Ya France kusheheni Waafrika wengi huko Russia nimeshangaa siku ya fainali waafrika wengi hasa hapa Dar walikuwa wakishabikia Croatia timu yenye idadi kubwa ya weupe
Hivi kwa nini waafrika hatujikubali? View attachment 811741
Niruhusu nimpige teke mojaRangi ya ngozi sio sababu ya kushabikia timu fulani.
Somalia ikicheza mechi na Tanzania mimi nashabikia Somalia kwasababu sipangiwi na tena ukinipangia ndiyo unaharibu kabisa.