Pamoja na Timu Ya France kusheheni Waafrika

Pamoja na Timu Ya France kusheheni Waafrika

ibanezafrica

JF-Expert Member
Joined
Oct 23, 2014
Posts
7,261
Reaction score
6,553
Sie waafrika cjui tumerogwa na nani yaani pamoja na Timu Ya France kusheheni Waafrika wengi huko Russia nimeshangaa siku ya fainali waafrika wengi hasa hapa Dar walikuwa wakishabikia Croatia timu yenye idadi kubwa ya weupe
Hivi kwa nini waafrika hatujikubali?
FB_IMG_1531834970130.jpg
 
Sasa tukishabikia weusi au weupe tunalipwa tsh ngapi!?
Kama haileti hela hai make sense
Si mmeona wenyewe hata hapa wanaonipinga wapo wengi na ndiyo Hawa walikuwa wanataka France ifungwe... Lkn mungu mkubwa kawainua waafrika
 
Nani kakwambia France ni team ya africa.

Hivi hivyo vichwa kazi yake ni kufugia nywele? Utaitaje team ni ya africa wakati ni mchezaji mmoja tu (umtiti) ndio kazaliwa bara la africa huko Yaonde Cameroon ila wengine woooote ni wazaliwa wa jiji la paris .

Au unadhani rangi nyeusi ndio uafrica. Yaleyale ya obama
 
Sie waafrika cjui tumerogwa na nani yaani pamoja na Timu Ya France kusheheni Waafrika wengi huko Russia nimeshangaa siku ya fainali waafrika wengi hasa hapa Dar walikuwa wakishabikia Croatia timu yenye idadi kubwa ya weupe
Hivi kwa nini waafrika hatujikubali? View attachment 811741
Rangi ya ngozi sio sababu ya kushabikia timu fulani.

Somalia ikicheza mechi na Tanzania mimi nashabikia Somalia kwasababu sipangiwi na tena ukinipangia ndiyo unaharibu kabisa.
 
kuna watu wameumbwa kupenda vinyonge..sasa Croatia wanamfungaje France..inaingia akilini kweli
 
Waafrika wengine walipenda underdogs (timu ambayo haikufikiriwa kuweza kushinda) washinde.

Si kila kitu lazima kiende kwa rangi ya ngozi,huo utakuwa ni ubaguzi wa rangi, si mpira.
 
Rangi ya ngozi sio sababu ya kushabikia timu fulani.

Somalia ikicheza mechi na Tanzania mimi nashabikia Somalia kwasababu sipangiwi na tena ukinipangia ndiyo unaharibu kabisa.
Niruhusu nimpige teke moja
 
Back
Top Bottom